Recent content by mwilili

  1. M

    JamiiForums Tanzania US embassy in Jerusalem

    Pia huwa nafikiri wakristu tuna tatizo la uelewa, wayahudi kumkataa yesu nafikiri ulikuwa ni Mungu alifanya miyo yao iwe hivyo ili kusudi lake litimie la kuteswa, hata kuuwawa ili tukombolewe, fikiria wangempokea nguvu ya Mungu ingeonekanje,
  2. M

    JamiiForums Tanzania US embassy in Jerusalem

    Ni bora ukaenda mbali ili tujue, maana elimu ina kawaida ya kutoka mbali, ni wapi ktk imani yako mungu alisema atakayempiga yesu kristu nitampiga ,atakaemlaani nitamlaani. Lakini juu ya hao israel amesema nini na uzao wake, alimuadia nini Ibrahimu na uzao wake,
  3. M

    JamiiForums Tanzania US embassy in Jerusalem

    Hahahahaaaa, ni kizazi cha nani?
  4. M

    JamiiForums Tanzania US embassy in Jerusalem

    Wamkubali wamkatae ila kubwa ni Mungu anasema nini juu ya israel
  5. M

    JamiiForums Tanzania US embassy in Jerusalem

    Maoni yako na mawazo yako juu ya israel yanatokana na maandiko /mafundisho ya imani yako, na wengine pia wana mitizamo yao itoknayo na I'm ani yao. Vumilianeni tu, ila mwisho wa siku itajulikana
  6. M

    JamiiForums Tanzania Uchumi unaimarika bei ya mchele yashuka kutoka sh.2600 hadi sh.1300 kwa kilo!

    Kweli bro kuna watu wataumia tena sana tu, kwani mbaazi ilipofikia sh 150 kwa kilo moja, ni uchumi ulikuwa umeimarika au nini?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Mark Mwandosya ni mpotoshaji

    Wewe unaejiita Jumanne, ulitaka Mwandosya aandike nini ili ufurahie, kama unaona ni uchochezi kwa mujibu wa katiba unaweza kufungua mashitaka,
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kama baba yako anamiliki Leseni ya Biashara, mtoto hapati mkopo wa Elimu ya juu. Hii ndio serikali ya CCM/Magufuli

    Mikopo haishinikizwi, ni sera ya Taifa, hakuna haja ya kuweka vikwazo kama hivyo ikiwa ni kweli
  9. M

    JamiiForums Tanzania Vituo vya Kijeshi vya Iran nchini Syria vyashambuliwa kwa Makombora ya ndege za Israel ,Askari 9 wa Iran wauwawa

    Kwa hiyo yeye kujibu kushambuliwa ndo uonevu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Israel Aonya: Tunaweza muua Asad Kama Wakiruhusu Iran Kushambulia Israel kutokea Syria

    Huwa sielewi kama uadui ulianzia hapo au ilikuwa kabla
  11. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Israel Aonya: Tunaweza muua Asad Kama Wakiruhusu Iran Kushambulia Israel kutokea Syria

    Kumbe hujui, ktk imani yao imeandikwa adui No 1 wa imani hiyo ni mayahudi. Uliza utaambiwa swala siyo kuisadia palestina
  12. M

    JamiiForums Tanzania North Korea imeonya juu ya Vitendo ya kichokozi Kutoka kwa U.S

    Nilisema jana mwenye akili timamu hawezi amini eti N korea ataharibu hizo silaha
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na Serikali yetu punguzeni spidi kidogo tutafakari, kwa maana dah!

    Hahahahahahaaa wayaruhusu uone kama hawawezi kuandamana,
  14. M

    JamiiForums Tanzania Sauti Kubwa: Magufuli anatumia uwanja wa ndege Chato “kupiga dili”?

    Siku akitoka ndo mtaamini kisemwacho, bahati mbaya na nzuri katiba hairuhusu wahojiwe wala kushitakiwa kwa waliyoyafanya, tumwkisha
  15. M

    JamiiForums Tanzania Sauti Kubwa: Magufuli anatumia uwanja wa ndege Chato “kupiga dili”?

    Hahahahahaaaa utetezi wa kijinga sana huo bora kunyamaza tu
Back
Top Bottom