nexus
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 374
- 164
Hata mimi naibariki IsraelAmani na iwe na Israel, atakaye ibariki anabarikiwa,
Naibariki Israel kwa jina la Yesu.
Jerusalem, Mji wa mfalme mkuu!!!
HALLELUJAH!!!
Hata mimi naibariki IsraelAmani na iwe na Israel, atakaye ibariki anabarikiwa,
Naibariki Israel kwa jina la Yesu.
Jerusalem, Mji wa mfalme mkuu!!!
HALLELUJAH!!!
Kwa nini Tanzania ilifungua ubalozi tel aviv Badala ya Israeli?
Jiwe si kidume?
Kuhamisha embassy kwenda Jerusalem hakubadili kitu, Wapalestima wapo na wataendelea kuwepo mpaka wapate haki zao. Israeli kabakia ni kupe tu ambae anaimaliza US kwa vita inavyopigana kwa ajili ya Israel na misaada mikubwa anayotoa kwa Israeli - taifa lililo laaniwa na ambalo limeahidiwa halitashi kwa Amani mpaka mwisho wa dunia sababu ya ubaya kwa binaadamu wenzao. Wamepata vipigo vikubwa kuanzia kwa farao, warumi , hitler n.k na kulia kilio cha mbwa maisha yao yote kudai kuwa wanaonewa. Lakini haya yote ndio wameandikiwa na laana zinaendelea.
Amerika inafilisika sababu ya ubabe na kushindwa kushindana na mataifa mengine kiuchumi - andalia hii video itakupa picha
Hivi unawajua wasiotahiliwa au unajitekenya Mkuu!Very nice; very nice; very nice. Jerusalem Mji wa Bwana wa Majeshi. Wasiotahiriwa nao eti wanataka waumiliki Mji ule Mtakatifu! How? Machukizo mbele za Bwana aliyeziumba mbingu na nchi.
Wanaooana mtu na binamu yake ni miongoni mwao Mkuu.Hivi unawajua wasiotahiliwa au unajitekenya Mkuu!
Mnajidanganya amelaaniwa huyo ndugu yenu.Amani na iwe na Israel, atakaye ibariki anabarikiwa,
Naibariki Israel kwa jina la Yesu.
Jerusalem, Mji wa mfalme mkuu!!!
HALLELUJAH!!!
Ushauri murua kabisa huu! Ni mjinga tu hataelewa Mkuu.Dua la kuku tu hizo. US is the world's most prosperous country economically and the most powerful militarily and whose country's visa is the most sought after.
State yao moja tu, California pato lake kwa mwaka inaizidi nchi yote ya Uingereza na pato la State yao kama Texas kwa mwaka inaizidi Afrika nzima, India na Pakistan ukiweka pamoja.......
Nchi kama hiyo sio ya kuchezea kwa kuiombea dua za kijingajinga kama hizo mnazoomba ambapo hata Mungu hawezi kuwasikia kwani hizo nchi mnazojaribu kuzipigia upatu haziheshimu haki hata za raia wake.
So long as Almighty God lives, the US will continue to prosper despite the ill will and jealousy advocated by the prophets of doom like you.
HahahahhahahKwani hao unaowabariki kwa jina la Yesu wanamkubali huyo Yesu wako....![]()
![]()
Mungu wako hatambuliwi na mayahudiGod is Good..Jina la Bwana wetu Yesu Kristo Liinuliwe na litukuzwe zaidi
Mungu kasema wamelaaniwa wana wa izrailWamkubali wamkatae ila kubwa ni Mungu anasema nini juu ya israel
HajielewiKama wewe ni mkiristo na unaamini yesu siyo Mungu basi ndio maana hujui unachosema, umepotoka sana ndio maana unashangilia usiyoyajua kiundani,
Marekani na Israel si mataifa teule kiasi kwamba wewe ushangilie kitendo cha USA kuhamishia ubalozi Jerusalem.
Msaafu gani huo?Mungu kasema wamelaaniwa wana wa izrail
hayo ndo madhara ya kuingia kichwa kichwa katika ulokole bila kujishughulisha na kujisomea Biblia mwenyewe na historia ya kanisa. ungekuwa unatumia hata asilimia 1 tu ya ubongo wako kujisomea usingeleta hapa hizi pumba zako.Very nice; very nice; very nice. Jerusalem Mji wa Bwana wa Majeshi. Wasiotahiriwa nao eti wanataka waumiliki Mji ule Mtakatifu! How? Machukizo mbele za Bwana aliyeziumba mbingu na nchi.
Bila shaka saudi arabia ,misri na nchi nyinginezo za kiarabu zitakuwa mbele kumuunga mkono US kwa maamuzi yenye busara .Jumatatu ijayo wanaume (us) wanafungua ubalozi wao Jerusalem, all the way kutoka telvive, ulimwengu unashuhudia maamuzi ya trump ambae harudi nyuma akishafanya maamuzi, waarabu wanasimama wapi kwenye hili?
Ni bora ukaenda mbali ili tujue, maana elimu ina kawaida ya kutoka mbali, ni wapi ktk imani yako mungu alisema atakayempiga yesu kristu nitampiga ,atakaemlaani nitamlaani. Lakini juu ya hao israel amesema nini na uzao wake, alimuadia nini Ibrahimu na uzao wake,Sitaki kwenda mbali ila tambua ya kwamba, wayahudi walipomkataa Kristo, alisema "jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe la pembeni"
Ufalme wa mbingu umefunuliwa kwa mataifa yote, hakuna taifa teule sasa, mteule ni yeyote anayezishika amri za Mungu na sio kuanza kusimuliana habari za waasi wasiomtambua kristo, hawataishi kwa amani walishalaaniwa kwa kumkana Masihi.
Pia huwa nafikiri wakristu tuna tatizo la uelewa, wayahudi kumkataa yesu nafikiri ulikuwa ni Mungu alifanya miyo yao iwe hivyo ili kusudi lake litimie la kuteswa, hata kuuwawa ili tukombolewe, fikiria wangempokea nguvu ya Mungu ingeonekanje,Sitaki kwenda mbali ila tambua ya kwamba, wayahudi walipomkataa Kristo, alisema "jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe la pembeni"
Ufalme wa mbingu umefunuliwa kwa mataifa yote, hakuna taifa teule sasa, mteule ni yeyote anayezishika amri za Mungu na sio kuanza kusimuliana habari za waasi wasiomtambua kristo, hawataishi kwa amani walishalaaniwa kwa kumkana Masihi.