Recent content by MWILI NYUMBA

  1. MWILI NYUMBA

    Hivi Mishahara ya May 2019 ilishatoka ama bado?

    Hivi watu wanaohusika na mishahara hawapo humu watueleze tatizo ni nini?
  2. MWILI NYUMBA

    Naibu Spika awaamuru Wabunge wa Upinzani watoke haraka

    Kwani Spika Ndugai yupo wapi?
  3. MWILI NYUMBA

    Serikali imesitisha ajira zote na nyongeza za mishahara nchini

    Hilo haliwezekani, itakuwa unafurahisha kijiwe tu mkuu.
  4. MWILI NYUMBA

    Serikali imesitisha ajira zote na nyongeza za mishahara nchini

    Mkuu wangu ukiona hivyo ujue wengi tumeshikwa pabaya kwa uamuzi huo.
  5. MWILI NYUMBA

    Serikali imesitisha ajira zote na nyongeza za mishahara nchini

    Shukran ndugu yangu ITEGEMATI kwa attachment yako.
  6. MWILI NYUMBA

    Serikali imesitisha ajira zote na nyongeza za mishahara nchini

    Kuna tetesi zinaongelewa Mitaani kwamba, wizara ya utumushi wa umma inasemekana kuwa kuna agizo toka kwa wakubwa la zuio la approval ya taarifa zozote za mtumishi wa umma wa ajira mpya, Watumishi Waliokuwa promoted na kwa Watumishi waliohama ofisi juu ya mabadiliko ya mishahara Yao na kuingizwa...
  7. MWILI NYUMBA

    Nyumba inauzwa Dodoma

    Hii nyumba bado ipo sokoni?
  8. MWILI NYUMBA

    Ukaguzi wa vyeti feki Serikalini umeanza rasmi, waanza na Walimu

    Polisi,JWTZ,Wauguzi /manesi na walimu ndiyo watakaokuwa wahanga wakuu, maana hizo sekta zinaongoza kwa kughushi vyeti.
  9. MWILI NYUMBA

    Huyu mwanasheria wa NEMC anastahili cheo zaidi

    Mkuu isijekuwa wewe ndiye huyo jamaa unajipigia chepuo? Hebu tuwekee hapa matukio yake yote utushawishi.
  10. MWILI NYUMBA

    Mtwara - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Kwa kituo vya Naliendele, hali ni shwari kabisa. Vituo vimefunguliwa kwa wakati na mpaka sasa watu wanaemdelea na zoezi. Foleni ni ndefu sana inaonyesha watu wamehamasika
  11. MWILI NYUMBA

    MSAADA: Simu yangu haisomi 3G network japokuwa inauwezo huo.

    Kuna mtu aliwahi kuniambia sijui kuna namna ya kubadilisha some version info then inakubali kufanyakazi, kwamba yeye alishawahi kukumbana na suala hilo akampelekea fundi na akairekebisha kwa muda mfupi sana. Sijamuelewa vizuri kwakuwa sio mtaalamu sana wa electronics softwares but aliniambia...
  12. MWILI NYUMBA

    MSAADA: Simu yangu haisomi 3G network japokuwa inauwezo huo.

    Makazi ni ubungo Dar ingawa situlii kutokana na majukumu ya kutafuta mkate wa siku. Umenishauri niende Voda kufanya kitu gani vile mkuu?
  13. MWILI NYUMBA

    MSAADA: Simu yangu haisomi 3G network japokuwa inauwezo huo.

    Poleni na heka heka za kuelekea october 25! Nina simu yangu nimeliinunua toka nje (CHINA) aina ya Lenovo S860 inanisumbua sana kupata network ya 3G ingawa kwa huko China ilikuwa inapiga mzigo vizuri bila tatizo lolote. Ni double line moja 3G/2G na nyingine 2G only. Line nikiiweka kwenye slot ya...
Back
Top Bottom