Serikali imesitisha ajira zote na nyongeza za mishahara nchini

Asante mkuu Itegamatwi, naomba utuwekee. page zinazofuata hii ni muhimu sana. JF standards zinarudi. Kujua ya uvunguni ni muhimu sana.
Usitamani kuona hizo page nyingine,unaweza kufa na pressure .
Kuna kipingele kinasema ,kama ulichukua likizo bila malipo na unataka kurudi kazini(baada ya mkataba kuhisha huko ulikoenda) hakuna kurudi ,unaombwa uwe mpole.
 
Hapana mkuu! inawezekana hiyo?
 
Kuna habari zinazagaa mitaani Kama tetesi kwamba;

1. Hakutakuwa na ajira mpya hadi hapo tangazo litakapo tolewa

2. Ajira ambazo zipo kwenye process nazo zimesimamishwa .

3. Hakuna nyongeza ya mishahara.

Hii ni kwanini? Hizi tetesi zinaukweli wowote? Au Serikali inatafuta muundo mpya wa kila taasisi ili kupunguza upotevu wa fedha kwa ajira zisizo stahili?.
 
Back
Top Bottom