Recent content by Mwilemela

  1. M

    This Kenyan street kid anaongea Kiingereza kizuri kuliko Magu na watanzania wote

    Kingereza ni lugha tu jamani kama kugha nyingine wala si kipimo cha maarifa aliyonayo mtu tuache kuwa watumwa jamani.
  2. M

    Picha ya Kumbukumbu

    Mungu aendelee kutufariji katika kipindi hiki kigumu.
  3. M

    Ali Kessy: Roma Mkatoliki anamtukana Rais halafu anaachiwa? Utawala gani huu?

    Haya ni majamga sasa,kwahiyo mbinu sahihi ya kushughulikiwa wanaotukana ni kuteka? Mungu atunusuru ili tuangalie njia zifaazo zaidi ya hizi jamani.
  4. M

    Huu ni umafia dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar

    Kuna vitu vya kutetea lkn kwa hili huhitaji hata elimu ya chekechea kulijengea hoja. Jamaa habebeki acha kujisumbua kujenga hoja. Kaharibu mno yeye angebaki kimya tu.
  5. M

    Clouds Media group: Chances never come twice au tragedy come in thrice

    Yote kwa yote ni mawazo sahihi lakini tunachopaswa kujua ni kua tunastahili kuishi kwa uhuru na amani bila ya kuogopeshwa na unyonge,zaidi sana hatupaswi kutishana cha msingi ni kutii sheria bila shuruti kwa nini tutishane?
Back
Top Bottom