Recent content by mwilawi

  1. mwilawi

    JamiiForums Tanzania NAUZA JBL CHARGE 5

    Uko wapi
  2. mwilawi

    JamiiForums Tanzania Wenye mahitaji ya Website

    Nahitaji. 0625891781. Nitumie sms
  3. mwilawi

    JamiiForums Tanzania Je tablet za atoch zina ubora?

    Nilikosea ni TABLET ZA ATOUCH
  4. mwilawi

    JamiiForums Tanzania Je tablet za atoch zina ubora?

    Wakuu salamu za usiku. Naombe munijuze kuhusu tablet za atoch ambazo naona zimeenea sana. Hasa spidi katika matumizi na uimara pia. Asante
  5. mwilawi

    JamiiForums Tanzania Wanaoangalia sasa hivi Madeama vs Belouizdad Yanga kazi wanayo

    🥲🥲🥲
  6. mwilawi

    JamiiForums Tanzania Yanga na Mamelodi ndio timu pekee zinazoweza kurudisha heshima ya mtu mweusi katika Soka la Afrika kwenye mashindano ya CAF

    Yanga yenyewe ndio mara ya kwanza kugusa makundi ya CAF baada ya miaka nenda rudi .
  7. mwilawi

    JamiiForums Tanzania Dalali wa pilipili mwendokasi masoko ya Dar es Salaam

    Naomba namba yake
  8. mwilawi

    JamiiForums Tanzania Dalali wa pilipili mwendokasi masoko ya Dar es Salaam

    Mimi mkulima wa pilipili mwendokasi niko Dodoma mvumi. Naomba nipate connection na madalali wa masoko ya Dar es Salaam
  9. mwilawi

    JamiiForums Tanzania Jinsi TFF ilivyoamua kumuonea hadharani Feitoto na kuwatumikia Yanga Ni dhahiri zile ni hisia za bahasha kwenye ligi yetu

    Kwani TFF ndio mwisho , kama hawajatenda haki basi fei anaweza kuwashitak caf
  10. mwilawi

    JamiiForums Tanzania Rais wa Al Hilal apingwa vikali baada ya kutangaza ofa kwa mashabiki wa Simba kusafirishwa kwenda Sudan

    Hao al hilal siku zote wana chuki kibwa sana na simba kwasababu simba alishawafanya vibaya sana toka miaka ya nyuma.
  11. mwilawi

    JamiiForums Tanzania Madalali wa pilipili mwendokasi

    Naomba kama kuna mtu anawafahamu madalali wa pilipili za mwendokasi kwa dar anijuze ili nifanye nao biashara kwa zao la pilipili mwendokasi aka Habanero
  12. mwilawi

    JamiiForums Tanzania Msaada wa rangi kwenye tunda la pilipili mwendokasi

    Zinapata
  13. mwilawi

    JamiiForums Tanzania Msaada wa rangi kwenye tunda la pilipili mwendokasi

    Nilimpelekea matunda akasema labda ni aina ya mbegu
Back
Top Bottom