Ngoja wanasheria waje watakujibu. Ila nnachojua sheria ya ndoa ya mwaka 1971 nimesahau kifyngu inakataza kujamihiana na MTU ambae sio mkeo. Na kifungo chake ni miezi 6
Mtengeneze ushahidi. Km vile kumwandikia meseji za kumdai. Mpigie cm na umrekod. Mdai kwa kumwitia MTU amulize kwanini hakulipi deni lako. Huu ni ushahidi tosha
Kwenu mawakili wasomi.
Naomba kujua mipaka ya mahakama za mwanzo kisheria. He inaweza kuendesha kesi ambayo mshitakiwa anaishi wilaya nyingine?
Mfano, uliwahi kuishi Kilolo Iringa kuna mtu ulikuwa unamdai akahama anaishi Makete Njombe. Mtu akachukua summons mahakama ya mwanzo "x" Kilolo na...
There z no way ukautofautisha mgogoro was Israel na Palestine. Chimbuko La huo huo ni udini. And there z no way huo mgogoro ukaisha until the second coming of Jesus. Because it prophesized in the bible. So team Zitto you better shut up
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.