Je, sheria ya kutotembea na mwanafunzi inawahusu private candidates?

youngkato

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
3,254
2,909
Nina mchumba wangu ambaye alimaliza form four 2014, ila sasa ameamua kurudi darasani kama private candidate.

Naomba kujua je sheria inayozuia wanafunzi wasibebe mimba na yeye pia inamuhusu?

Nb ana miaka 23
 
shaeria haitakubana eti unatembea na mwanafunzi bali sheria itakubana unatembea na mtu ambaye hamjafunga ndoa
 
Sheria ya Elimu inasema kua mwanafunzi ni yule aliye kwenye miaka 7 ya elimu ya msingi na miaka 4 ya elimu ya secondary....

Ukishamaliza miaka 7 au 4 automatically sio mwanafunzi kwa mujibu wa sheria ya elimu

Kurisit sio mfumo kwa minajili ya section 35 ya Education Act

Sent using Jamii Forums mobile app
 
a
Ngoja wanasheria waje watakujibu. Ila nnachojua sheria ya ndoa ya mwaka 1971 nimesahau kifyngu inakataza kujamihiana na MTU ambae sio mkeo. Na kifungo chake ni miezi 6
cha uongo, hakuna kifungu kama hiko kinachkataza kujamiina na mtu ambaye hajakuoa
 
Back
Top Bottom