Recent content by mwihava

  1. mwihava

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Col T. N. Mlay (rtd) has passed away

    Hii ya mke wake ilitokea kj 822 buhemba jkt
  2. mwihava

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Penzi la house girl halijawahi kumwacha mtu salama

    Kumbuka hakuna housegirl mgumba
  3. mwihava

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Changamoto gani unazipata 'kudate' na binti 'under 20'?

    Katika utaratibu wa maisha na malezi si sawa kutembea na watoto wadogo maana kama MTU matamanio yamekushinda unatakiwa ukaechini na kufanya maamuzi ya kuoa. Zinaa inagharama zake. Acheni watoto wa watu wakue kwenye miendo na maadili mema
  4. mwihava

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Changamoto gani unazipata 'kudate' na binti 'under 20'?

    Kimsingi mabinti walio na umri mdogo wanachangamoto kama mlizotaja ingawa zipo baadhi ambazo ni kero ambazo ni 1. Hawajui kuvumilia mikiki mikiki pale inapobainika nyumbani kwao kuwa anampenzi. Hasa pale wanapompa kisago na kumtishia kusitisha mahitaji kwake. 2. Wao huongozwa na mioyo zaidi ya...
  5. mwihava

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Lowassa siyo saizi yangu

    Teh teh
Back
Top Bottom