Recent content by Mwihadisa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Waislam wa Tanzania na tatizo la udini katika Wizara ya Elimu

    Leo nilienda kununua Kuku wa Christmas kwa jamaa Muislamu. Hakuniuliza mimi ni dini gani lakini akasema duh afadhali sikukuu za hawa wenzetu (Wakristo) walau tunafanya biashara. Wakija hapa wananunua tu Kuku akiwa mbiishi sana anaomba umpungizie buku tu basi lakini sherehe zetu (sijui...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kamati kuu ya CHADEMA ipo au haipo?

    Ungekuwa Mwana Chadema ungejua kwamba baada ya uchaguzi Mkuu iliitishwa Kamati Kuu kujadili matokeo yaliyokuwa yanatangazwa. Halafu kila siku Makene amekuwa akitoa taarifa mbalimbali kuanzia matokeo,kifo cha Alfonce Mawazo na Kaimu Katibu Mkuu mara nyingi anatoa taarifa wewe huwa...
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kakutana na EX wake tukiwa pamoja, kafurahi hakuna mfano!

    Aise!Una akili sana
  4. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli sasa kufuta ibara ya 46 (3) ya katiba

    Arudishe katiba ya Warioba basi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli afyeka 50 waliokuwa kwenye orodha ya kushiriki ziara ya Madola

    Mungu mkubwa. At last walau tumepata mtu mwenye uchungu na raslimali zetu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Majina ya Wabunge Viti Maalum hadharani: CCM-64, CHADEMA-36, CUF-10

    Mzee kura za Urais za Chadema ni pamoja na za CUF,NLD,NCCR Mageuzi na labda CCM, TLP na vyama vingine. Nadhani cha kushangaa ni kura za CCM za urais kuwa nyingi kuliko za Ubunge. Angalia jimbo kama Arusha ambako Chadema wameishinda CCM kwa kura karibu 90,000 lakini...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Tanga: Mkutano wa Mgombea wa CHADEMA, E. Lowassa - Septemba 28, 2015

    Hebu tupe mtazamo wako kuhusu Tanga
  8. M

    JamiiForums Tanzania Fredrick Sumaye unajidhalilisha sana kwa Lowassa

    Warioba yupo kimya!! Nadhani haupo serious
  9. M

    JamiiForums Tanzania CCM waumbuka Uwanja wa Taifa, Makamba akumbana na nguvu ya UKAWA

    Nilikuwepo na kushuhudia. Hatari sana
  10. M

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa waziri wa Elimu na mbunge wa Mufindi, Joseph Mungai ajiunga CHADEMA Leo

    Hivi Waziri pekee yake anaweza kufanya maamuzi makubwa hivyo bila baraka za cabinet na Rais wake?Hayo yalikuwa ni makosa ya Lile zee Lodilofa
  11. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA, ni muhimu kuhakiki daftari la wapiga kura majina hayaonekani

    Kwenye kituo nilichojiandikisha majina yaliyoonekana ni 6 tu kati ya 800 na ushee yaliyoandikishwa. Bao la mkono hilo
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wapiganaji wa UDSM wapiga hodi Bungeni

    Masahihisho...Julius Mtatiro alikuwa Waziri wa Mikopo kwenye Serikali ya Mwita Magessa 2006/2007(kutoka COET) ambaye alimpokea Mwita Mwikwabe Waitara. Waziri wa Mikopo wa Deo (Mtatiro akiwa Waziri Mkuu) alikuwa Buhenyenge Josphat maarufu kama Bush.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Bashiru, Nape na Kitila mkumbo live Azam two.

    Dr Bashiru Ally aliongea vizuri sana
Back
Top Bottom