Tanzia: DR Eliezer Chiduo Wa Chuo Kikuu Dar es salaam, amefariki Dunia

CHAMULILE

Member
Nov 7, 2010
18
1
Mhadhiri mahiri Wa UDSM Dr Eliezer Chiduo Ametutoka na Mungu amlaze mahali pema peponi.Kwa kweli tutakukumbuka DR chiduo Mungu Ailaze roho yako pema peponi.

Juzijuzi alimpoteza babake nae kamfuata,msiba upo kona ya kileleniUDSM ukishavuka geti opposite uclass
 

Attachments

  • chiduo.jpg
    chiduo.jpg
    7.9 KB · Views: 998
Wilaya ya Kilosa na Mkoa wa Morogoro umepoteza msomi mahili na mzalendo asiye na shaka. RIP Dr Chiduo.
 
Juzijuzi alimpoteza babake nae kamfuata,msiba upo kona ya kileleni udsm ukishavuka get opposite uclass
 
Juzijuzi alimpoteza babake nae kamfuata,msiba upo kona ya kileleni udsm ukishavuka get opposite uclass

...RIP Dr Chiduo!...samahani mkuu,hivi ana unasaba na kina Peris na Mary Chiduo ama majina tu yameshabihiana?
 
Back
Top Bottom