Recent content by Mwigo45

  1. M

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    mimi ni mgonjwa sana au addicted na series za kikorea hasa zenye ufalme na hata zingine mfano iris,athena,triangle,secret door,the three musketeers ,gwachogo, qwduaeto and many more.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Tanzania nzima kwani hata mkoani Njombe hakuna Umeme, wenye uwezo wa kutoa kinachoendelea tujuzane
  3. M

    JamiiForums Tanzania DODOMA:Mivutano Urais vs Uwaziri Mkuu

    kwanini tunatumia kuhisi na mategemeo zaidi bila kuangalia mfumo wa uongozi wa nchi ni wa kulindana kichama zaidi?
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa kazi...!

    Ndoa ni kitu fulani delicate sana itategemea kabla na baada ya ndoa ulijenga falsafa gani ya kuendesha family yako, yaani ni participatory or non participatory katika upande wa financial, kwani lakini umsome mwenza wako kwa upande wa financial management na ndipo unaweza ukatengeneza utaratibu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania New allocation batch release two

    Jamani kama kuna mtu amepata link tusaidieni kwani kama kawaida pressure za watanzania huwa zinapanda na kushuka kwa sababu ya kutokuwa na uhakika wa mambo mengi.
Back
Top Bottom