Recent content by mwibamwiba

  1. mwibamwiba

    JamiiForums Tanzania Trust me"when a pope travel to any nation jua there is somebody who deserved to named saint

    Guys trust me,tangu enzi na enzi hii ndio tofauti iliyopo kati ya mtawala mkuu wa kikatoliki duniani kama sio mtawala mkuu wa madhehebu yote ya Kikristu maana hata wahubiri wa madhehebu mengine hawajui kuwa wao ni Roma na wapo kwa niaba ya Roma, kidogo Mzee wa upako na Kakobe ndie...
  2. mwibamwiba

    JamiiForums Tanzania Ni kiumbe gani hapa duniani huishi milele bila kufa?

    nami naamini hivyo ndio maana nimeandka ktk maelezo yangu kuwa manesi polisi huwa wanaishi sema wanakuwa ktk roho hawaonekani na watu wapenzi huonana baada ya kifo na kuishi kama duniani sema mnakuwa kama ktk ndoto lakini kubwa Mungu huturudisha duniani kama tunadondoshwa hivi mfano wa mwanzo...
  3. mwibamwiba

    JamiiForums Tanzania Burundi is now playing a new political game in army but political has its specific place

    edition politics not political on heading
  4. mwibamwiba

    JamiiForums Tanzania Ni kiumbe gani hapa duniani huishi milele bila kufa?

    kuna bacteria kwenye maji asiekufa na wanasayansi wa kijapani wanamfanyia utafiti na wakijua siri wanadai huenda binadamu nae ataishi milele au miaka mingi
  5. mwibamwiba

    JamiiForums Tanzania Burundi is now playing a new political game in army but political has its specific place

    Kwa hakika nina mashaka kiasi na aina ya mchezo mpya wa siasa wa Burundi kwa kutumia jeshi maana ipo siku itakuwa kweli. Siasa haichezwi jeshini maana ni hatari sana, sijui maoni ya wadau nayasubiri. Wapo viongozi wanaokiri wazi kuwa elimu ya siasa waliipatia nchi fulani hivyo si mbaya...
  6. mwibamwiba

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa majeshi ya Burundi kakoswa koswa kuuawa leo

    for me this is a dangerous political game in army,political has its specific place to be played not in army one day can turn and be really
  7. mwibamwiba

    JamiiForums Tanzania Kama kuna binadamu duniani ametaabika basi ni aliewahi kufungwa muhogo au p.o.p ya shingo

    ikiwa mtu amevunjika shingo au ametegeguka
  8. mwibamwiba

    JamiiForums Tanzania Kama kuna binadamu duniani ametaabika basi ni aliewahi kufungwa muhogo au p.o.p ya shingo

    mimi ninakwambia kweli kama kuna binadamu duniani ametaabika kuliko yeyote yule basi ni yule aliewahi au aliefungwa muhogo a.k.a p.o.p ya shingo na kushindwa kugeuza shingo kama kawaida mpaka ageuke mwili mzima japo kwa muda wa mwezi mmoja tu achilia mbali siku. Lengo ni kukuthibitishia wapo...
  9. mwibamwiba

    JamiiForums Tanzania Ubuyu huu wataalam wakiri sauti zisizoeleweka si kwa wenye matatizo ya akili tu,....pia ni hai zipo

    Wataalamu waeleza haya kwa uwazi ktk attachmentzangu hapo chini,ombi langu wanaojua lugha vizuri ya kiingereza wajaribu kutafsiri kwa manufaa ya wengi na jambo la kusikitisha hakuna madaktari wengi wa ugonjwa huu sijui kwanini,hasa wilayani na haujatangazwa vya kutosha mamia wanahiisi wamelogwa...
  10. mwibamwiba

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kusikia sauti zisizoeleweka na namna wataalamu wanavyozungumzia pitia attachment hapo

    mimi nimeamua kukuchambulia juu ya watu wanachosikia na namna wataalamu walivyotambua kuwa wakati mwingine watu husikia sauti zikiwa ktk mtiririko maalumu na wakiwa hawana tatizo la akili na wametambua kuwa ni sauti hai.......soma attachment zangu neno kwa neno
  11. mwibamwiba

    JamiiForums Tanzania Kuna mahusiano kati ya ndoto na maisha ya kawaida?

    Ninachoamini ni yeye ndio aandaae ndoto kwa kila binadamu,na kuongea nae ndotoni ninaamini ni yeye anaweza kukuonesha mambo mengi tu,ila nakuhakikishia wapo watu wanazungumza nae na kusikia sauti rejea nafsi tatu za roma,baba roho mwana na roho mtakatifu,live huongea nae akiwa ktk roho...
  12. mwibamwiba

    JamiiForums Tanzania Soma mathayo mtakatifu sura ya 27 mstari 19-25 uone namna sheria za dunia zinavyobadilishwa na mungu

    Ukisoma mathayo mtakatifu 27 19-25 utajionea namna mama huyu mashuhuri wa kipindi hiko alivyoweza kutengua maamuzi magumu ya mumwewe asijue ndivyo Mungu anavyoendesha dunia mpaka leo,nchi moja sitaitaja wakiona jambo fulani haliendi sawa basi humchukua kiongozi na kumualika alishiriki basi...
  13. mwibamwiba

    JamiiForums Tanzania Kuna mahusiano kati ya ndoto na maisha ya kawaida?

    ni sehemu pekee unapoongea na Mungu moja kwa moja,kama manabii walipoongea nae kupitia ndoto, mathayo mtakatifu sura ya 27 mstari wa 19-25 baada ya mama huyo kuonjeshwa joto ya jiwe soma alivykulupuka kubadili mambo ukibisha basi
  14. mwibamwiba

    JamiiForums Tanzania Ni kweli nani kama mama lakini mh.francis m.wapo kina baba wamekwisha ingia leba na kujifngua na....

    KTK dunia hii hakuna jambo binadamu asio lijua sema imewekwa siri moyoni mwa kila binadamu,ktk dunia hii wapo wanaume wanaojua uchungu wa leba na wamekwisha zalishwa sawa sawa na mwanake akiwa leba ila kupitia ndoto,lakini walichokihisi huenda ni sawa au zaidi ya uchungu halisi,kama navyosema...
  15. mwibamwiba

    JamiiForums Tanzania Niliwahi andika kuwa polisi, manesi huwa hawafi, wao huishi kama malaika sikueleweka

    Niliwahi andika wakati fulani kuwa polisi na manesi huwa hawafi kwani punde utakapokula kiapo chao maana yake unamwakilisha alie juu. Adamu na Hawa walipopata kujifahamu yaani kutambua zuri na baya kwanza walijificha sehemu za uzazi,sasa mtu aliepewa mamlaka ya kutibu mwili wa binadamu amepewa...
Back
Top Bottom