Trust me"when a pope travel to any nation jua there is somebody who deserved to named saint

mwibamwiba

Senior Member
May 22, 2015
150
38
Guys trust me,tangu enzi na enzi hii ndio tofauti iliyopo kati ya mtawala mkuu wa kikatoliki duniani kama sio mtawala mkuu wa madhehebu yote ya Kikristu maana hata wahubiri wa madhehebu mengine hawajui kuwa wao ni Roma na wapo kwa niaba ya Roma, kidogo Mzee wa upako na Kakobe ndie anajua,wahubiri wengi ukiwauliza nini maana ya msalaba hawajui kabisa, watasema ni mzigo wa dhambi zako-sawa ila nini chanzo cha msalaba-wote hawajui, sana sana watakujibu ni kubebeshwa kwa Masia ndio chanzo, kumbe chanzo ni tangu miaka maelfu bc Kristo msalaba ulikuwapo Roma na ndio waliobeba hasa maana ya dhambi kwakuwa watu waliohukumiwa waligongelewa msalabani na kuchomwa moto kama ishala ya kubeba dhambi zao na adhabu hii ilikoma baada ya Masia kukata roho na miujiza kutokea hekaruni
Alichokifanya Masia ni kuja kukomboa dhambi zote kwa kupitia yale ambayo Roma alishayafanya sawa na kafala au tasnia fulani ambayo inalegalega ni lazima atangulie mmoja wa nyota wa tasnia hiyo ndio mchezo uwe maarufu na upendwe(yaani freemason)na baada ya miaka mingi ukilegalega tena atatangulia mmoja wa mchezo huo yani kifupi ndio mfumo wa maisha.

SASA kiongozi wa kiroho Duniani anamaono ya wazi na anajua siri zote za dunia sasa anapofunga safari nchi fulani elewa wazi kuna binadamu yupo aweza kuwa mmoja au zaidi ya mmoja mwenye maajabu huenda akawa nin kiongozi wa juu kabisa au mtu wa kawaida kabisa mbali ya kuwaonea huruma wenye mateso na mahangaiko ila dhumuni kuu huwa hilo.wapo viongozi wenye nguvu sana haieleweki wanatawalaje au walitawalaje enzi za utawala wao hadi kupendwa na watu wote nguvu ambayo wao wenyewe hawaijui wakidhani ni siasa kumbe la,sasa waweza kuwa wanajijua au hawajijui, kwahiyo mwenye kung'amua hayo ni baba mtakatifu nae hudhulu kwa kukamilisha michakato fulani itayofanyika karne nyingi zijazo kwa watu hao kuitwa watakatifu au la! kumbuka kuitwa mtakatifu ukiwa hai ni haiwezekani kwa sasa kwa mtu yeyote maana.

Chunguza ziara zote azifanyazo wapo viongozi ambao wananguvu kubwa waliyobarikiwa na Muumba ambayo hata wao hawajijui na hata ukiwauliza sababu ya Pope kudhulu katika mataifa yao ilihali viongozi wengine wakishindwa hata kupiga hatua moja nje ya mipaka yao wengine wanalala wiiki kadhaa nje ya mataifa yao yaliyo sawa sawa na hao wasiolala nje,wengine wakitawala kwa hofu wakishindwa hata kuhudhulia mikutano wakihofia kubinuliwa kama mtumbwi,wengine wanachanja mbuga kama digidigi wakizunguka dunia na kuhudhulia mikutano kisha hurudi kuchungulia kidogo kunywa maji(sababu mualiko ni sehemu ya baraka na umuhimu wako ktk maisha yetu,hivyo ikimiminika ni mibaraka)kwa kuwa ya baraka hizo.
 
Attachments

  • pope-francis-vatican.jpg
    pope-francis-vatican.jpg
    30 KB · Views: 245
I beg to disagree! some times is just a curse my friend, I use to be a catholic my self but not anymore... when a pope visited Rwanda in September 1990 jMali and his uncle a catholic priest; Wenceslas Munyeshyaka were planning a genocide! when the pope left we know what followed... distribution of bush knives allover the country, honestly I believe a catholic church is just a bunch of criminals representing the west.
 
...hahaaa,bora uwe mkweli useme sababu halisi iliyokuondoa katoliki,acha unafiki.Haiwezekani, narudia tena haiwezekani matendo ya wawili watatu uyatumie kulihukumu kanisa lote...noo ww ni mjinga, tena mjinga sn very sorry.
Now niambie, ni wapi huko ulikohamia kwa watakatifu wote.?
Narudia tena, ww ni mnafiki, mnafiki,mnafiki...
 
Thousands of people took refuge in the local Catholic church, thinking they would be safe there

[h=1]PROOF: Picture Stories[/h]About PROOF

iPhone photograph by David Guttenfelder
Nick Nichols on Capturing the Essence of Jane Goodall →← Marco Casino, From Train Surfing to Townships

  • PROOF:
  • April 2, 2014
[h=1]Revisiting the Rwandan Genocide: How Churches Became Death Traps[/h] Author
Peter Gwin
3b5fa362d0a26c212a498a668d7bef2c

Photographs
David Guttenfelder

...hahaaa,bora uwe mkweli useme sababu halisi iliyokuondoa katoliki,acha unafiki.Haiwezekani, narudia tena haiwezekani matendo ya wawili watatu uyatumie kulihukumu kanisa lote...noo ww ni mjinga, tena mjinga sn very sorry.
Now niambie, ni wapi huko ulikohamia kwa watakatifu wote.?
Narudia tena, ww ni mnafiki, mnafiki,mnafiki...
Mzee pole sana umetumia nguvu nyingi kumjibu huyo ni taahira aka mwehu aka kichaa, huku kwetu angekuwa Milembe sasa hivi akipata dose
 
Back
Top Bottom