Recent content by Mwevibint

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Kenya waandika, Diamond is East Africa's Biggest Crowd-Puller

    Kweli nabii hakubaliki nyumbani..! Sasa kaka wabongo wataiona thamani yako kwa nyomi hiyooo si mchezo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mahusiano ya kidiplomasia kati ya Tanzania na Israel

    Asante sana care4All kwa kutusaidia..!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Iphone 4 na 4s

    Wakuu nauza Iphone 4 na 4s zimeshatumika ila bado zipo kwenye hali nzuri. Zote ni nyeupe na zina memory ya 32GB. Bei yake ni 700,000 tu.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Haya tena kwa wale wanaotaka kusafiri ulaya kuja kikazi au kimaisha

    Jamani MziziMkavu mbona unaniangusha?? Mi nimetuma e-mail kwenye hiyo account lakini inasema delivery failure ona ujumbe kwa urefu hapo chini au hiyo account bado kutengenezwa?? Funguka mkuu.!!! ----- Delivery to the following recipient failed permanently...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Nyumba ya kupanga vyumba 2 na sebule

    Asante mtambuZi ila sipendelei tabata kutokana na ninapofanyia shughuli zangu za kilasiku.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Dawa na njia mbadala za Kupunguza unene/uzito | Weight Loss techniques and advice

    Wakuu mimi nimejifungua kwa operation na sasa nina miezi mitatu sijafunga tumbo. Naomba ushauri namna ya kuliondoa tumbo hili maana kila nguo hainipendezi.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Nyumba ya kupanga vyumba 2 na sebule

    Wadau vp hakuna nyumba nyingine maeneo hayo bado sijapata tafadhali msaada maana hiyo milion moja kwa mwezi sina. Bajeti ni chini ya 350,000 kwa mwezi tafadhali sana wadau wa JF
  8. M

    JamiiForums Tanzania ElimuTiba: Jinsi ya kujieleza kwa Daktari

    Tunashukuru kwa elimu hii maridhawa tunaomba elimu ya uzazi kuanzia ukiwa mjamzito mpaka malezi ya mtoto mchanga maaana hospitali na clinik za siku hizi hasa za private hawatoi elimu hiyo inabidi uipate mtaani kwa mazoea ya watu kama ni mzao wako wa kwanza. Jamani hii ni kweli unamuona Dr hakuna...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa tarehe hizi zipi ni za Mimba?

    Asante sana mkuu mupiricon ushauri utafanyiwa kazi.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa tarehe hizi zipi ni za Mimba?

    Asante mupiricon kwa taarifa nzuri, lakini kwa sisi ambao mizunguko yetu haipo kwenye mafungu hayo matatu uliyotaja tunafanyaje maana kwa mfano mimi mtiriko wangu wa siku mwaka jana ulikuwa hv 10.01.2012, 03.02.2012, 22.03.2012 16.04.2012 Nikajikuta nimepata ujauzito sasa nina mtoto na nimeanza...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Nyumba ya kupanga vyumba 2 na sebule

    Wadau natafuta nyumba ya kupanga ya vyumba 2,sebule, choo, jiko na parking angalau ya gari moja. Maeneo ya mbezi tank bovu, kijitonyama na makumbusho.
Back
Top Bottom