Iphone 4 na 4s

Iphone 4 na 4s

Mwevibint

Member
Joined
Mar 15, 2013
Posts
11
Reaction score
5
Wakuu nauza Iphone 4 na 4s zimeshatumika ila bado zipo kwenye hali nzuri.
Zote ni nyeupe na zina memory ya 32GB.
Bei yake ni 700,000 tu.
 
mkuu kwa bei hiyo, sijui! pitia na post za wauzaji waliokutangulia huenda ukapata mwanga zaidi
 
Hizo ni kati ya 350-500 hiyo bei ni ya s3 lakini huu ni mtazamo tu haushurutishwi..!!!
 
mimi ninayo lphone 4 ziko 2 ila ntauza moja kwa laki tano tu napatikana moshi 500,000/=
iko in very good condition no scratch cables and everything nililetewa zawad this year
 
Back
Top Bottom