Natafuta Nyumba ya kupanga vyumba 2 na sebule

Natafuta Nyumba ya kupanga vyumba 2 na sebule

Mwevibint

Member
Joined
Mar 15, 2013
Posts
11
Reaction score
5
Wadau natafuta nyumba ya kupanga ya vyumba 2,sebule, choo, jiko na parking angalau ya gari moja. Maeneo ya mbezi tank bovu, kijitonyama na makumbusho.
 
Ipo mbezi beach kodi milioni 1 kwa mwezi na ni lazima ulipe mwaka mzima. Kama unahitaji nipigie 0659463709
 
Wadau vp hakuna nyumba nyingine maeneo hayo bado sijapata tafadhali msaada maana hiyo milion moja kwa mwezi sina. Bajeti ni chini ya 350,000 kwa mwezi tafadhali sana wadau wa JF
 
Mimi ninayo lakini Mbezi Luis- 300,000/= piga 0714432979
 
Wadau natafuta nyumba ya kupanga ya vyumba 2,sebule, choo, jiko na parking angalau ya gari moja. Maeneo ya mbezi tank bovu, kijitonyama na makumbusho.
Kuna moja hpo kijitonyama nyuma kabisa na kanisa la kkt..ina vyumba viwili na sebule,maji yapo, na ulinzi ni salama kwa mawasiliano piga no:0713058290
 
Wadau natafuta nyumba ya kupanga ya vyumba 2,sebule, choo, jiko na parking angalau ya gari moja. Maeneo ya mbezi tank bovu, kijitonyama na makumbusho.

Kunduchi ipo check na mimi kwa 0714021078
 
mpigie huyo mtu nyumba ipo changanyikeni maeneo ya chuo kikuu cha ardhi
wasiliana na namba 0754 555741
 
Zipo Makongo juu..
ipo ya gorofa,
room nne, full tiles, kitchen, dining,master& public toilet, sitting, nice house,
imezungushiwa ukuta,

na nyingine ya kawaida,
ina room nne,
master& public toilet, kitchen, dining, sitting, store, full tiles, ina nafasi kubwa,
imezungushiwa ukuta,
ndani kuna parking iliyojengewa mageti..

pia na nyingine ya room mbili,
yaani master moja, kitchen,
na parking,

ipo ya room tatu,
full tiles, kitchen,dining,sitting, master& public toilet, uwanja mkubwa,
call: 0756547184
 
mkuu weka bei tafadhali....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom