Recent content by mweusiii

  1. M

    Palestinian Authority Pays $10 Million Each Month to Terrorists

    Tutolee utumbo wako....ujielewi wee...iv una ubongo kweli? Wakati nchi yetu inakabiliwa na matatizo lukuki kiuchumi, fedha yetu imeshuka thamani, deni la nchi linazidi kupanda..afu wewe unatuletea ujinga wa middle east eti tudiscuss.....fool ishmaeli, deserve a finger in the ass
  2. M

    Naombeni msaada tatizo la figo

    Huo mkojo ni vizuri ukaspecify wa rangi gani...maana rangi fulani ya mkojo huelezea tatizo fulani..kwa mfano mkojo rangi ya chai unaindicate tatizo tunaliita kitaalam acaptonuria ni tatizo la kibiokemia zaid linalohusu metabolism ya amino acids, mkojo mzito wenye rangi inayotaka kufanana na maji...
  3. M

    The Atheists Paradox

    Very easy....we say there is no God kwa sababu hayupo, nini chanzo chake? Anakaa wapi? Nani kamuona?....uwepo wa viumbe unaelezeka kutumia natural scientific laws......
  4. M

    Serikali yanawa mikono Al-Shabab Mtanzania

    Nyinyi wote ni wapumbavu....hapa hatumwongelei mtuhumiwa, tunamwongelea mama yake....anayo haki ya kwenda kumuona mwanawe japo kwa mara ya mwisho kabla ya kuhukumiwa...kitendo cha polisi kutoa majibu ya kisenge eti hawajui kuhusiana na mwanae zaidi ya kuona kwenye magazeti ni upuuzi...ndo maana...
  5. M

    Alama Rasmi ya Chama cha ACT-Wazalendo - Toa Maoni Yako

    Alama ya mkono wazi inaomaanisha transparency.....uwazi
  6. M

    CHADEMA inatumia koti la UKAWA kujikongoja kisiasa

    National racists n regionists=chadema Wabaguzi wakubwaa.......am convinced these people are criminals
  7. M

    Kamanda Kova abadili upepo hujuma ya kumuua Dk Slaa

    Wamemfukuza shujaa zitto..sasa wanataka kuuana wenyewe kwa wenyewe....poor chadema
  8. M

    Mwongozo: Kwa wanaohitaji kadi za uanachama ACT-Tanzania

    Namuunga mkono zitto....chadema baas, mapinduz ya kweli yapo act...tunataka mtu mchapakazi, sio chama
  9. M

    Pengo awalipua Maaskofu, asisitiza uamuzi wa aina ya kura ni wa mtu binafsi

    Yupo sahihi...kitendo cha maaskofu kuwaabia waumini wao wakatae katiba ni kuigawa nchi....ni vizuri kwenye mambo ya siasa vyombo vya dini visijiingize...ivi kwa mfano na viongoz wa kiislam nao wakiwaambia waumin wao nin cha kufanya si itakuwa ushindani kati ya waislam na wakristo....ni vizuri...
  10. M

    Baada ya Mangula na Kagenzi kutuhumiwa kumlisha Sumu Dr Slaa, CCM fahamu kuwa

    "Those who make peaceful revolution impossible, make violent revolution innevitable" mzee slaa anataka afie madarakani, kazuia peaceful revolution ya akina zitto, sasa waache wamuue.....
  11. M

    Putin calls the Internet a "CIA project" and warns Russians against making Google searches!

    bado akili zako ni za karne ya 7....akili za kipuppets hazikusaidii lolote, US troops soon will set foot in our country kasome mpango wa amerika kigamboni n frm thr utakuja kuiona true face ya hao unawassuport
  12. M

    Putin calls the Internet a "CIA project" and warns Russians against making Google searches!

    ITS TRUE...huu ni ukweli, soma history ya internet utajua..na hata mashirika kama facebook, google yapo chini ya CIA, hawa hudisguise kama watu wa kawaida na wanarun makampuni kama watu binafsi kabisa lakini ni part ya mtandao mkubwa wa kumonitor nchi na watu...wanaexist hata nchini kwetu hasa...
  13. M

    Putin calls the Internet a "CIA project" and warns Russians against making Google searches!

    US jewish medias kama google huwa wanamanipulate habari in their favour...kwa mfano huwapaka matope wana mapinduz wa russia(bolsheviks) kuwaita madikteta, kwa mfano jaribu kusearch jina la stalin, matokeo watakayo kupa ni yale yanayomtaja kwamba alikuwa ni dicteta wa urusi, lakini je ni kweli...
Back
Top Bottom