Recent content by Mweusi Joven

  1. M

    Natafuta mpenzi

    Basi uliye zaa nae nipe mimi
  2. M

    VIDEO: CCM wananitishia maisha - Rev. Munishi

    Hii serikali ya wa ccm, inakotupeleka sipo, lazi ya viongozi wa dini ni kukemea maovu, so kama ameona yanayo fanywa na serikali hii yenye kila uozo na uchafu, acheni tu aseme.Binafsi nimechozwa na serikali ya Magaidi,
  3. M

    Jengo la ghorofa zaidi ya 12 laanguka jijini Dar

    Ten percent hiyo.Maisha bora kwa kila mtanzania.Mkandarasi si mtoto wa mjomba.Ngoja tuone watasema nini na hili.
  4. M

    Accessbank

    Duh, kazi kweli kweli, sasa hii inakua vp kama mtu unatoka dar, si sawa na kuambiwa tu, mtu usiende?, wadau hebu niambieni wenye uzoefu wa hizi mambo, nijitoe ufahamu au nipotezee? Nipo njia panda hapa.
  5. M

    msaada maswali ya interview ya field officer ya accessbank!

    Sasa vijana, wengine wageni kidogo humu, me kuna jamaangu kaniuliza hiyo field officer nini majukumu yake ni yapi, nimeshindwa msaidia, nimeleta mezani, hebu nisaidieni wadau.
Back
Top Bottom