Recent content by mwesimpya

  1. M

    Dr. Slaa hawezi kuwa Rais-Tufikie hatua tuwe wakweli na wenye kuwaza kwa kina

    Mimi naona kikwete awe Rais wa kudumu, maana yeye si mzigo....
  2. M

    Kwa CV hii ya Waziri wa Fedha- Tutegemee Kuporomoka zaidi kwa Uchumi Wetu

    Unajua inawezekana huyo mama hayuko fit kitaaluma lakini yupo vizuri kwenye idara nyingine specifically "extra curricula activities" ndio maana mzee kampenda!
  3. M

    Mpango mzima wa kuihusisha CHADEMA na ugaidi mpya huu hapa

    , Hivi Kova analipwa shilingi ngapi na ccm zinazomfanya afanye mambo ya kipumbavu kiasi hiki? badala ya kufanya kazi yake ya upolisi namuona mara nyingi anafanya propaganda za kisiasa. ananikumbusha Enzi za mahita alipoonyesha majambia ya cuf! Laana zote za walioteswa kwa uzembe wake...
  4. M

    DK Slaa amtaka JK kuwawajibisha wakuu vyombo vya dola nchini

    Sikutegemea kama jeshi letu linaweza kufanya mambo ya kishenzi kiasi hiki. Unyama huu lazima ukemewe kwa sauti kubwa. kuingiza ushabiki wa kijinga kwenye mambo kama haya inaonyesha wa tz tulivyo myopic kwenye thinking. jeshi lifanye upuuzi halafu watu wanyamaze! hv tuna akili kweli?
  5. M

    Rais Jakaya Kikwete njiani kuelekea Kenya kwenye mahadhimisho ya miaka 50 ya Nchi hiyo

    Yes , watanzania tuna matatizo ya akili, hata uwe tajiri kiasi kama huna akili ni bure, na tunaongozwa na "accidental leader" ambao hata wao wanajiuliza hivi hawa tunaowatala wana akili kweli?
  6. M

    Fungu la Bajeti kwa safari za viongozi limeisha ndani ya miezi 2 tu ya mwaka mzima wa Bajeti!

    Mzigo No.1 anaelea tu angani, Chezea ------ wewe! ndo maana na wengine nao wanajitengenezea ulaji halafu mnawaita mafisadi wakati muzee anakula huku anaelea angani....
  7. M

    Swali Muhimu kwa MHE WAZIRI MKUU PINDA Leo

    Na wapigwe tu, maana tumechoka sasa! Na watanzania tutakoma kuchagua waliochoka maana tunajitakia wenyewe.....
  8. M

    Mishahara, posho za wabunge ni mzigo Afrika

    Hebu tusaidiane kujaza hapa; Prezda = Tshs 35,000,000.00 per Moth, Vice Prezda = ................, PM = 29,000,000.00, Beno Ndulu = Tshs..................... Waziri = ................................., Mbunge = 11,000,000.00, Teacher = ........................................
  9. M

    Nape apendekeza Msajili wa vyama kufuta CHADEMA

    "Kuna watu wanatakiwa wapelekwe Milembe kwa nguvu, " Mengi
  10. M

    CHADEMA mnamkomboa nani?

    Utasikia wa Tz ni watu wema sana, lakini ukisoma baadhi ya meseji unaweza jua mioyo na akili za wa Tz zilivyo. Wakati tunaendelea kutupiana maneno ya kashfa na matusi, wenzetu wanaondoka na madini yetu, pembe za ndovu wetu, sasa wanakuja kuchukua gesi yetu; elimu mbovu, ujambazi, rushwa na wizi...
  11. M

    KOVA: Kapuya hana kosa la kuhojiwa ni mambo yake binafsi

    Kova, kova, kova...., a part of rotten security system of our country. We should not bother about him...
  12. M

    Nimemsikiliza JK Jana; Tafsiri Yangu...

    Nimegundua kuwa katika Tanzania yeyote anaweza kuwa Rais wa nchi....
  13. M

    Mwigulu Nchemba afanikisha harambee Milion.19, Aivaa CHADEMA

    Nina uhakika huyu jamaa ni gaidi tena gaidi hatari sana. mnafiki, mwongo! hivi haya makanisa yetu na dhiki yao ya fedha mbona watazidi kuharibu imani za watu!. Ifike wakati makanisa yawaambie hawa magaidi na mafisadi watubu maovu yao hadharani ili wachangishe hiyo michango. ama kweli kuna watu...
  14. M

    Kwa hili; kweli mbowe ana upeo mdogo sana!

    Inawezekana kweli, lakini huyu anayeitwa tendwa ndo dodoki kabisa...sijui kiazi....
  15. M

    Rais Kikwete: Nchi iko salama, atakaye jaribu atakiona cha mtema kuni

    Wakati wanajeshi wanawapiga tu wananchi huko mtwara na Dafur wanatushughulikia! Si vizuri kufurahia watu wanapopigwa tu kwa sababu viongozi wamechoka!
Back
Top Bottom