Mi kiukweli slaa simkubali kugombea Urais,tatizo lake kubwa ana hasira sana,nchi haiwezi.CCM baadhi mafisadi nawachukia,ila wana majembe yana point ambayo hayana kashfa,yakitangaza kugombea yanapita bila kipingamizi.mfano.Mwakyembe,sita,Magufuli n.k.
Mi sijui nisemeje?sio CHADEMA wala CCM,wote hawana nidham,hakuna anaye msikiliza mwenzie,kila chama kinatafuta kujifaharisha sio kwa faida ya wana nchi.Nadhani kama sikuile ya mgogoro uliangalia bunge uliwasikia Lukuvi na Lissu,mi nilipata jibu siku hiyo na kuvidharau vyama vyote viwili.
Akili nyingi huondoa maarifa,wahenga walisema.Mwanamke akisoma sana asilimia kubwa wanaringa na wanashindwa kuwa chini ya himaya ya waume zao.Msomi hana nafasi kwangu,kipimo ni uelewe alio nao huyo mwanamke.Sio kila msomi ana maarifa,waweza kuwa msomi halafu ukawa mjinga.
Sent from my...
Watanzania sio tatizo maana sababu za migogoro zikp wazi kwa malawi na Rwanda,we Malawi kuongozwa na Rais Mwanamke kwanza ni kinyume na maadili ya dini zote na mila zote,si uone hapo wana matatizo.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Tatizo la watanzania tumekuwa masikini kupita kiasi hata umasikini wa fikra,maana tunashindwa kutofautisha lugha na dini.Nani kakwambia kiarabu ni dini?kwani wanao zungumza kiarabu wote ni waislam?Maswala ya Udini yanatoka wapi?
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.