Recent content by Mwenyekiti magh

  1. M

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Kamati Kuu CCM kukutana Mei 23 Dodoma kujadili ajenda mbalimbali

    Tutawafurahisha 2015....Lowassa ndie Raisi wamkate wasimkate lkn ndio raisi😀😀😀😀
  2. M

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Kamati Kuu CCM kukutana Mei 23 Dodoma kujadili ajenda mbalimbali

    Mwalimu Nyerere alisema wasipoipata ndani ya CCM wataipata nje ya CCM sisi hatupendi CCM kuanguka tunaipenda ishike dora! Lkn ikianguka tutaumia saana saana ndicho chama tulikozaliwa lkn Mhes Nape ataumia zaidi yetu maana ndio ajira yake .ndiko anaendeshea maisha .hivyo tunamheshimu tunaomba...
  3. M

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Kamati Kuu CCM kukutana Mei 23 Dodoma kujadili ajenda mbalimbali

    Niaibu kwa chama kutangaza kushirishwa vikao kwenye Press halafu mkae mseme oohh CCM tunaipenda ?unaempenda utamdhalilisha ?? Huu niudhalilishaji wa chama anaoufanya Nape.sasa wenye kumwambia mwambie CCM inavikao vyake
  4. M

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Kamati Kuu CCM kukutana Mei 23 Dodoma kujadili ajenda mbalimbali

    Lowassa kwanza chama baadaye tumechoka nadhuruma anayofanyiwa
  5. M

    CCM njiapanda Urais 2015: Kumpitisha Lowassa au chama kumeguka

    Watabana wataachia tuu .wakimaliza hapi waludi kwao kulima nyanya hhmm Lowassa anawapa tabu
  6. M

    Lowassa amwaga T - Shirt Musoma mjini

    Mleta mada alete point zenye IQ Hii inampotezea muda na heshma
  7. M

    Lowassa amwaga T - Shirt Musoma mjini

    Friends of Simba wanazo sijaona TFF na Mamlaka zingine wakizuia .kuna Friends of mbeya city ! Je wanatabiri matokeo ? Huo uoga tu
  8. M

    Lowassa amwaga T - Shirt Musoma mjini

    Watu wanajaribu kuzuia mafuriko kwa mikono Aibu yenu hiyo !!! 😆😆😆😆 Lowassa hagawi tishert mnajuwa ila mnajiashua
  9. M

    Taarifa za mgomo wa Wafanyabiashara nchi nzima

    👊 kwa Pamoja !!tutashinda MINJA kwanza Biashara badayee haturembi hatung'ungyi
  10. M

    Wanafunzi Vyuo Vikuu kuandamana kumshawishi Lowassa Kuchukua Form ya Urais

    Aaah Lowassa ni jembe nandio gumzo la Mujini ! Nyinyi mnaopinga nisawa na kujitekenya na kucheka wenyeewe eeeheee !!!😃😃😃😃 sasa kauri .mbiu ya Chadema "peopless???power! Nilikuwa sijaelewa ! Sasa nakuwa hii Lowassa ndio peopless power yenyewe ! Haidhuriki...
  11. M

    Dr. Slaa amechoka kiafya,kifikra,kimwili na kimawazo

    Hao CCM nikuwaonea tu .afikirie kumuuwa Dr Slaa leo NaAfya ilee ?? yanini kumsahidia Mungu majukumu yanini kupakaa Damu bureee.
  12. M

    Ukinyonga na unafiki wa Sitta na Mwakyembe wadhihirika

    Alie msafi kaako katika hawa wagombea mtaje
  13. M

    Ukinyonga na unafiki wa Sitta na Mwakyembe wadhihirika

    Hao wanaopanga njama zao dhidhi zao dhidi ta Lowassa ni kwa faida ya Nani??
Back
Top Bottom