Taarifa za mgomo wa Wafanyabiashara nchi nzima

Taarifa za mgomo wa Wafanyabiashara nchi nzima

Nchi hii imeshindwa kuongozwa na viongozi wenye weled.
 
Ndo maamuzi ya Rais ambaye tulijivunia ni mchumi, tukiamini kuwa wachumi wanaminimize cost, kumbe sasa huyu mchumi wetu anakwenda opposite yeye anamaximize cost. ndo mchumi wa kwanza kufanya hivyo duniani!
 
Ndo maamuzi ya Rais ambaye tulijivunia ni mchumi, tukiamini kuwa wachumi wanaminimize cost, kumbe sasa huyu mchumi wetu anakwenda opposite yeye anamaximize cost. ndo mchumi wa kwanza kufanya hivyo duniani!

Rais ndo kawaambia wafunge maduka!? we.waache waongopeane mikopo waliokopa sijui watailipaje. any way huku kwetu maduka yako wazi tu.
 
Mimi nimefunga kwa sababu tofauti!
'Nimefunga kwa sababu mtaani kwetu maduka yote yamefungwa'
 
Inafika wakati nahisi hasira ata sijui sababu, jamani haya mambo nchi hii mpaka lini tunaacha mambo ya msingi tunawekeza katika mambo yasiyokuwa ya msingi. Kwa kwl ifike wakati watanzania tuseme basi
Halafu watapewa Tsheti na kanga ili waseme CCM ina wenyewe. Hii balaa lazima iondoke uchaguzi ujao!!
 
We unaejiita UAMINIFUKAZI hujui unachokiongea , na ninawasiwasi na uwezo wako wa kielimu huyu mfanyabiashara ndiye anayeuza kila kitu sasa cjui tafsiri yako ikoje? Na km wewe ni mtumishi cjui mahitaji yako utayapataje na hata Mshahara wako utajitengenezaje. Au ndo wale wale Baba mwalimu na watoto ni walimu au Baba ni askari na watoto wote ni recruit. Think wisely my friend dont allow people laughing at u

Duuuu, inaonekana unabifu na walimu
 
Rais ndo kawaambia wafunge maduka!? we.waache waongopeane mikopo waliokopa sijui watailipaje. any way huku kwetu maduka yako wazi tu.

Katika makenge ww ndio kenge nani kakwambia wafanyabiashara wanaishi kwa mikopo?
 
Mwenyekiti kwanza biashara baadae, tupo tayari kufilisika.
 
Huyu minja kinachofata ni kung'olewa kucha na meno..!
 
Wakuu nipo hapa mbalizi mbeya,naskia gari ya matangazo inapita kuwahamasisha wafanyabiashara leo kurudi tena na kufungua maeneo yao ya biashara.je mwenyekiti wao aliyekuwa anashikiliwa na polisi kashaachiwa na je mgomo umeisha?

TAHADHARI! Ndugu yetu Mwkt Minja ameshikiliwa na mahakama siyo Polisi.
Mahakama ni chombo cha utaratibu ambacho hufanya kazi zake kwa mujibu wa sheria , mahakama haitaamua au kutoa hukumu fulani kinyume cha utaratibu kwa shinikizo!
Njia mahususi ya kupinga maamuzi ya mahakama ni kwa kutumia mahakama ya juu .
 
Wamefunga maduka kwa ushirikiano wao ili wafuatilie proses za kumwekea dhamana na endapo watakataa maduka hayafunguliwi hadi atakapopata dhamana maana dhamana yake imezuiliwa bila sababu kuelezwa
 
Kahama Maduka yamefungwa watu tunahangaika sana
 
Wasiwasi wangu wale wafanya biashara wadogo wasije wakaanza kula mitaji yao
 
Back
Top Bottom