Recent content by mwenyehekima

  1. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Likizo inaisha lini?

    Inaitwa paternity leave, ni likizo ya siku 3 tu kwa baba aliyepata mtoto. Sio sheria mpya ni ya muda ni wewe tu umechelewa kufahamu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Dereva wa Nape Nnauye apewe tuzo ya Uzalendo

    Du hiyo kumiliki pair moja ya kiatu sio uzalendo, hiyo ni roho ya umaskini angekuwa rais watu wangekoma, angetaka kila mtu awe maskini.
  3. M

    JamiiForums Tanzania RC Makonda tunaomba msaada Tanfom Arusha wamejaza udongo kwenye barabara Moshono-Losirway

    Tunaomba msaada mkuu wetu wa Mkoa, nafahamu jinsi ulivyo na moyo wa kuwasaidia wananchi. Tanfom wamejenga ukuta kwenye eneo Lao jipya la moshono losirway, wamejaza udongo barabarani zaidi ya miezi miwili sasa hawajatoa. Kwa kweli tunapata shida tunapokuja usiku tunaachwa mbali na toyo inabidi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tanform-Arusha tunaomba mtutengenezee barabara mliyo ijaza udongo kutokana na ujenzi wa ukuta wenu Moshono Losirwai

    Tafadhali Tanfom Arusha ondoeni udongo eneo la barabarani uliotokana na ujenzi wa ukuta katika eneo lenu la moshono Losirwat. Kwa kweli mnatutesa hasa Watembea kwa miguu kwani mvua hizi zinasababisha matope na toyo zinashindwa kupita hivyo kututesa tunaporudi usiku kwani tunaachwa mbali na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mwajiri wangu amegoma kunisainia fomu yangu ya uzazi kwa ajili ya mafao ya uzazi NSSF

    Sijajua kwa nini hawaja fuatilia shirika letu, tena nilipoenda nssf wameongea mbele yangu kuwa mwajiri wangu ni kimeo (anasumbua,) sasa sijui kwa nini wasimchukulie hatua.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mwajiri wangu amegoma kunisainia fomu yangu ya uzazi kwa ajili ya mafao ya uzazi NSSF

    Naombeni ushauri mwajiri wangu amegoma kunisainia fomu yangu ya uzazi kwa ajili ya mafao ya uzazi Nssf kwa sababu hajapeleka michango yangu kwa muda, naombeni ushauri hatua za kufanya. Nilienda NSSF wanisaidie wakaniambia nirudi kwa mwajiri, sasa sijapata msaada na muda wa mafao ya uzazi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ninauza shamba zuri la umwagiliaji ekari 20 Londoto - Simanjiro

    Ndio mkuu huko huko
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ninauza shamba zuri la umwagiliaji ekari 20 Londoto - Simanjiro

    Du huko hatujawai kupata hiyo adhabu, tunasikia tu kama hadithi, huku ni umande mtupu. Tupo nyuma ya kiwanda cha TPC Moshi.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ninauza shamba zuri la umwagiliaji ekari 20 Londoto - Simanjiro

    Hii simanjiro imepakana na moshi mjini, shamba lipo nyuma ya kiwanda cha TPC Moshi
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ninauza shamba zuri la umwagiliaji ekari 20 Londoto - Simanjiro

    Nauza shamba langu zuri la umwagiliaji lipo wilaya ya Simanjiro, msitu wa tembo - Londoto. Shamba ni nzuri sana lililojaa rutuba, karibu sana kwa yeyote anayehitaji, bei ni mil 60 mazungumzo kidogo yapo, mimi ndiye mwenye shamba. Karibuni sana.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya viungo vya chakula

    upo mkoa gani
  12. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya viungo vya chakula

  13. M

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa million 5 naweza kufanya biashara gani Arusha?

    naomba utusaidie kuhusu hiyo biashara ya spices, je unatoaa spices arusha kupeleka nairobi au nairobi kupeleka arusha
Back
Top Bottom