Recent content by mwenye shamba

 1. mwenye shamba

  Huyu mlinda mlango wa Yanga ni kipa kweli? Yanga wameleta kitu gani hiki!

  Injinia alisema siku ya uzinduzi wa jezi(Hamza day) kuwa huyu jamaa anadaka mishale tu na sio mpila.
 2. mwenye shamba

  Kwa wanaotaka kujiua, soma hapa ujue namna ya kujizuia

  ndugu yangu dunia inamengi,tangu siku hiyo sijawahi kuwaza kujiua,na Mungu alivyo mwema nilikaa muda kidogo tu wakaja wachina kijijini kuwekeza kwenye maswala ya dhahabu nikajiegesha kwa muda wa miezi kama mi4 hivi.Sasa siku moja nikabet sportpesa jackpot nikawin match 11 nikawa nimepata mil 4...
 3. mwenye shamba

  Kwa wanaotaka kujiua, soma hapa ujue namna ya kujizuia

  Kati ya vitu nathamini,familia yangu ni namba moja
 4. mwenye shamba

  Kwa wanaotaka kujiua, soma hapa ujue namna ya kujizuia

  Kutokana na hali yake nilikauka tu,alirudi na sh 300 na dagaa wa buku akapika tukala,japo zile dawa ziliniendesha kwa kipindi kirefu sana
 5. mwenye shamba

  Kwa wanaotaka kujiua, soma hapa ujue namna ya kujizuia

  Kuna kipindi nilikutwa na hali hiyo kutokana na ugumu wa maisha uliopitiliza. kila nilichokuwa nikifanya kiliishia pabaya(japo mpaka sasa sina maisha mazuri) Nilikuwa nalala na njaa,sina hata mwelekeo,mtoto amedhoofu kwa utapiamlo,wife mjamzito,vibarua sipati na nikauza mpaka vitu vya...
 6. mwenye shamba

  Unapoambiwa chozi la mwanaume halithaminiki ndiyo kama hivi

  Daah we acha tu,mimi nikiwa nafika kileleni huwa natamani kulia ila moyo unaniambia "acha usenge endelea kumpelekea moto mpaka alie yeye" basi hapo ntajikaza mpaka alie yeye.
 7. mwenye shamba

  Nahitaji msaada: Nachelewa kupata hisia katika mambo mbalimbali

  Kwamba ukipiga bao utamu unakuja baadae? Labda we ni slow learner mkuu!
 8. mwenye shamba

  Beijing ina mabilionea wengi zaidi kuliko miji mingine duniani

  Write your reply...Wakimalizana na mabilionea nisaidie kuangalia jina langu kwa matrionea.Au nasema uongo ndugu zangu?
 9. mwenye shamba

  Kitendo cha Mwakalebela kuita waandishi na kulalamika ni Ushamba

  Daaah,zile tambo kuwa wanabeba ndoo zimeishia wapi jamani? Swala la morisson hawalizungumzii tena,hizi ni dalili kuwa dozi inawaingia sawa sawa. Walianza kuwa mashabiki wa kila mpinzani wa simba kimataifa ila kila waliyemshabikia aliishia kutafunwa na mnyama dili likaharibika,sasa wameanza...
 10. mwenye shamba

  Mafundi feniture wengi wa Mwanza si wabunifu wanazidiwa na wa Morogoro

  Kama unaakili timamu hiyo kwako ni fursa tayari,ila kutokana na kukosa kwako akili unakuja kutufokea wana ng'wanza,tombina.
 11. mwenye shamba

  Madaktari waonya kuhusu matumizi ya Vipipi Mahaba

  Naivutia picha dunia ya miaka 20 ijayo.
 12. mwenye shamba

  Kwanini watu wanaiponda sana wilaya ya Rombo kwa ulevi lakini bado kuna maendeleo?

  Hiyo Rombo yako nimekaa kama mtumishi zaidi ya miaka minne, naijua nje ndani, mnajimwambafy sana as if kuna la maana sana, huku geita rombo yako yote nakushushia kata ya lwamgsa tu mnakaa chini.
 13. mwenye shamba

  Dereva na konda wanusurika kichapo baada ya kuwanyima abiria raha ya Flyover

  Wageni wa Dar mnajulikana tu, pole kachukue buku 7 yako Lumumba uwahi huku tena upost utumbo
Top Bottom