Ni kweli kabisa unao uwezo wa kujenga hoja vizuri lakini huzuni yangu juu yako ni kwamba umeshindwa kabisa kubalance makala yako na imeonesha moja kwa moja wewe Ni mdau au shabiki au kada wa chama furani.
Anyway ninakushauri ujipe muda wa kuchambua upya mambo Kama haya kabla hujaandika chochote...
Unapofurahia msiba wa jirani kwa sababu bado unaishi, usidhani ndio mwisho wa mauti kufanya kazi yake.
Nakuomba unaongelea Jambo Kama Hilo la Mwalimu kunyongwa au mwanafunzi kuuwawa uwe na kiasi kwani hujui njia yako mbele ipoje.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.