Recent content by mwenemkuu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Mkuu amnyonga mtoto wake na kisha kujinyonga

    Laana kubwa imebaki kwa huyo mwanamke tuombe tu Mungu atupe uwezo wa kuyakabili matatizo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Mkuu amnyonga mtoto wake na kisha kujinyonga

    Hii ni laaana kubwa sana
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anasema hanitaki nifanye nini?

    Kama anakwambia watoto so wako basis huo ndio ukweli wenyewe halafu kumbe anakwambia kabisa tambua kuna jamaa ndo anampa kiburi weww temana naye
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mwanaume wangu yupo busy, nifanye nini?

    Mimi ninachokielewa fimbo ya mbali haiui nyoka kama kweli unampenda Na amekwambia naye anakupenda fanyeni mchakato mmoja wenu ahamie mkoa wa mwenzake ili muishi pamoja vinginevyo huo ubusy wake anakuwa Na mwanamke mwingine:glasses-nerdy:
  5. M

    JamiiForums Tanzania REVEALED: CHADEMA Yapanga Kupenyeza Mamluki ACT - Wazalendo!

    Wewe unauthibitisho gani ili tukuamini maana siasa za majitaka watu hamjambo
Back
Top Bottom