Recent content by mwenemalila

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ukiona mtu anaanza kusifia sana maparachichi na namna gani ni matamu ukila na ugali, ujue tayari ukata umeanza kumnyemelea

    Boss sio Kwa Dar es salaam parachichi bei sana wanakula maboss, Kwa mbeya sawa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Unavyokuja ndio unavyopokelewa kitambaa cheupe.

    Ukitaka hao ingia tender mzee
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kufungiwa kwa ngoma ya Harmonize ni ukiritimba

    Basata kufungia wimbo wa HARMONIZE wa "kudos" wamekosea sana hii tupo 2026 sio 70s au 80s, maisha yanabadilika lazima twende na wakati, katika video ya wimbo huo Kwa maisha ya Sasa sijaona kosa lolote video Kali wimbo mkali, kushusha video na kumfungia msanii ni kurudisha nyuma jitihada za...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini sekta ya Bodaboda isifutwe? Ni kimbilio la waliofeli, wanajazana mochwari na wazalishaji wa wajane mtaani

    Umesema kweli boss, sema shida hii ni Tanzania ya CCM, sio kwamba tunapenda kuwa boda, kumbuka zile point za shule, lack of capital, poor government support, poor infrastructure, bad leadership etc, kama wewe umetoboa upo kwenye kundi la wachache, uku mtaani watu ugari tu kuupata ni kazi hali...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jifunze kupika kitimoto na mboga za majani

    Mate yamenijaa mdomoni hayakauki😋
  6. M

    JamiiForums Tanzania KERO Uhamiaji wanakera kwa kuchelewa kutoa hati za kusafiria

    Bora Wewe boss miezi miwili, mimi toka mwaka jana mwezi wa nane mpaka leo bado wananipa calendar nisubiri, nyuso Zao zimekauka, kauli mbovu, huduma mbovu TZ hii kama huna pesa unateseka kwelikweli, ukitoka nje ya office zao vishoka kibao utasikia njooo nikufanyie itoke chapu daaah noma sana
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 ‘Kapteni Tesha’ kawapa matumaini hewa

    Machawa yasiyo elewa lolote
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hii nchi bila vijana kuamka kujitoa hakuna mabadiliko

    Vijana wenzangu tujitokeze kwa wingi Oktoba 29, angalia majuzi watu wa Kimara wamejitoa sasa hivi wanakula kiyoyozi. Lakini wapo walioshikiliwa mpaka sasa na polisi lakini ndio walioleta mabadiliko, Oktoba 29 tujitokeze kwa wingi, tumechoka.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la traffic police wale wa vimashine, nauliza kama wamepewa malengo pesa ya kuingiza kwa siku

    Abiria anavaaa baadae hata hujui anavua mpo safarini
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la traffic police wale wa vimashine, nauliza kama wamepewa malengo pesa ya kuingiza kwa siku

    Sababu mtu anakukamata kosa lako abiria hajavaa helmet na abiria yeye kaishika mkononi halaf traffic anakuandikia fine inaumiza sana, kama mtu ni boda atanielewa hela yote ya marejesho ya mkopo unawaachia, oyaa wee
Back
Top Bottom