Mamlaka ya mapato Tanzania yaani tra ni chombo cha serikali cha kusimamia ukusanyaji wa kodi na mapato ya serikali, ni mamlaka ambayo kwa jicho fulani hivi inayojitahidi kuhimiza watu katika kulipa kodi kwa njia na mifumo halali.
Mamlaka hii imetoa idhini kwa baadhi ya watu au taasisi binafsi...
Hatukumchagua kunasa mawasiliano ya watu yupo pale kuongoza mkakati wa kuondoa nchi kutoka kwenye janga la umaskini wa kipato kwa wananchi, huduma duni za afya na elimu na kuhakikisha ustawi wa jamii kwa ujumla kwa kuhakikisha kuwa nchi inafikia malengo ya kuwa ya uchumi wa kati kwa uhalisia...
Hayo mengine sio ya msingi sana, la msingi ni je kuna athari gani kwa chama hicho kutofanya uchaguzi huo kwa wakati huu kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa na katiba ya nchi?
Bado kuna juhudi za kukwamisha ripoti hiyo, nimeona mbunge Ally Saleh kaandika kwenye akaunti yake ya Twitter kwamba kuna changamoto kwa wabunge kupata vitabu vyote 17 vya ripoti ya ukaguzi, mwenyekiti wa bunge nyoka wa makengeza amesema kwamba kuna gharama za kutoa nakala hizo ili kupata idadi...
Angeruhusu hao wanaoandika kwenye mitandao wafanye ziara kama anavyofanya yeye ndio tungeweza kufanya ulinganisho wa haki lakini hao unaowabeza yeye mwenyewe anaogopa hata wakitaka kukutana na wanachama wao kwa mikutano ya ndani ya vyama vyao, kitendo cha kukosekana kwa mikutano ya hadhara ya...
Alichokuwa anakitafuta ni uhakika wa chakula na sasa kapata kwa hiyo hana uwezo wa kuona upungufu katika hayo kwa sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati fulani tulipokuwa tunasoma kuna somo linaitwa historia (sijui kama bado linaendelea kufundishia huko shuleni na vyuoni) tulisoma kwamba kabla ya kuingia ukoloni barani Afrika zilitumika mbinu mbalimbali za kuwalainisha Waafrika ili waweze kutawaliwa kwa urahisi, hivyo kulikuwa na mawakala...
Mwanzoni walikuwa wanasimama na upinzani na unashindwa mara zote kwa hiyo huko walikokuja sasa mjiandae pia kushindwa kwa sababu hao wana nyota ya kushindwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati mwingine tumia ubongo wako sawasawa na kama unaona Tundu Lissu kakosea pinga hoja waziwazi kuliko kutoa hoja ya jumla
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ccm kama taasisi ilikufa toka wakati wa Mkapa kilichobaki ni jina ccm na hao waporaji na waropokaji wakitumia jina la hiyo taasisi na sisi tumepokea na kuridhika kuwa kuna taasisi inaitwa ccm kumbe kikundi fulani cha watu wachache wanaendesha mipango yao
Miongoni mwa kazi za bunge ni kuisimamia serikali, hao wametekeleza wajibu wao, ubunge sio tu kuhudhuria mikutano ya bungeni ni wabunge wakati wote, chukua hiyo itakusaidia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.