Recent content by mwene mkulu

  1. M

    Ujasiri BUTU wa Mwakyembe ni sawa na UNAFIKI

    Mungu mlinde Mwakyembe afanye kazi. Tuna imani naye!
  2. M

    LUKUVI na wengineo, Huu ndio ukweli jinsi Bomu lilivyorushwa. Mengine ni PROPAGANDA!

    Mheshimiwa Lukuvi chonde chonde usileete mzaha kwenye masuala ya msingi,kuwa muangalifu na kauli zako au taarifa unazoletewa na wasaidizi wako.Suala la bomu usiweke propaganda.
  3. M

    Mbowe: Spika ni mtu wa ajabu sana!

    Mmmmmmmmmmmh, kwa hili dada Anne fikiria roho zilizopotea ww ni mkristu!
  4. M

    Huu ndiyo ukweli kuhusu mabomu

    Kuna kitu cha msingi ambacho kwa mzalendo wa taifa hili unakipata bila kujali itikadi za kisiasa. Ni busara kutafakati mara mbili au zaidi juu ya maelezo haya.
  5. M

    Tukio la Arusha: Tunahitaji tamko la Makanisa.

    Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana ndiyo sababu unaweza kusema maneno hayo ya kijinga dhidi ya viongozi wa makanisa hapa nchini
  6. M

    Lukuvi ashikwa na Chiku Abwao bungeni kama kinara wa kuwatumia polisi kisiasa

    Kwa mtu mzima aibu sijui anajisikiaje comrade lukuvi
  7. M

    Tamko la Rais Kikwete juu ya Tukio la Arusha

    Ndugu wakristo sipendi nionekane kuwa na shabiki wa udini la hasha, lakini kwa usalama wa wakristu ni bora wakajitenga na waislamu ili tuone watakachofaidi kwa maana kila siku wakristo ndiyo wanaomwaga machozi kutokana na vitendo wanavyofanyiwa na waislamu.
  8. M

    Arusha: Aliyerusha bomu alikuwa kavaa kanzu nyeupe na koti la Mvua la Kahawia

    Tusitegemee serikali kutaja jina la mwislamu katika jambo hili maana kufanya hivyo kutachochea hasira za wakristo. Naona ubaguzi wa kidini unainyemelea Tanzania yetu. Mungu tuokoe na hili balaa
  9. M

    Arusha: Aliyerusha bomu alikuwa kavaa kanzu nyeupe na koti la Mvua la Kahawia

    Aliyefanya hivyo ni mwislamu tusitake kupotosha ukweli.
  10. M

    Kipindi cha kumbukumbu ya Mwl Nyerere; mgeni Mohamed Said - Radio Imaan

    Hawa jamaa mara nyingi hawatumii busara katika utangazaji wao.Any way hawa jamaa ni wa hivyo hivyo jambo la maana ni kuwapuuza
  11. M

    Naunga mkono Zitto kuwania urais - Kigwangalla

    Kigwangala karibu chadema kaka naona umeona mbali kuwa 2015 CCM hutoki, njoo huku kwa waungwana wanao jua nini maana ya demokrasia. Hongera kwa kumuunga mkono Zitto
  12. M

    Nikijiuzulu hamtapata waziri kama mimi - Nchimbi

    Ni kweli hatutapata waziri mwingine "zuzu" kama yeye.Kwa sababu hatumii ubongo katika kutenda au kusema
  13. M

    Polisi Waunda Tume ya kuchunguza kifo cha Daudi Mwangosi

    Hakuna sababu ya kuwa na tume ya uchunguzi inayoundwa na majeshi pekee. Kama ni hivyo nawaomba waandishi wa habari kuunda tume ya uchunguzi hata kwa kuomba msaada wa ulinzi toka nje ya nchi. Ni vigumu kupata ukweli kutoka kwa tume hiyo ya polisi iwapo jeshi la polisi lilitangaza uongo kuhusu...
Back
Top Bottom