Waandishi Kugomea Habari Za Kipolisi; Naomba Nichangie Haya...

Mnamkumbuka Omari Ramadhani Mapuri? Umoja ni nguvu!
 
Bwn Maggid kwa hili na umekosea si busara hata kidogo na pia si kipindi chake hata kidogo kulizungumza hili wakati huu watu wakiwa na majonzi, Haya mambo usingeyaleta online ungezungumza tu na watu wa IPS mkaelewana, au ungeuchuna kwa muda yapite ila kwa hili umekosea,
 
nngu007
Magazeti kama hayo Mtanzania, nafikiri hatuna haja ya kuumiza kichwa, ni kujiuliza mmiliki wake nani? vyombo vya habari kama TBC vinaeleweka (kwangu nimeweka marufuku ya kusikiliza TBC). Hata maggid nae anataka kulinda masilahi yake, hana haja ya kujitetea hapa jamvini, aendelee tu, na msimamo wake tutamwelewa, kuliko kuanza kutupotosha hapa
 
maggid

Are you out of your mind or you are now showing us your true colour? Unapenda sana kuandika vitu controversial.

Inanikumbusha siku moja ulipoandika kuwa mwanamama mmoja maekwenda kwao Norway na kuandika kwenye gazeti la kule akiwa anasifia maendeleo yaliyoletwa na Rais Kikwete. Niliisoma ile makala yako nikashindwa kuelewa tangu lini mtu mmoja asiyekuwa na taaluma ya uchumi au hata kama angekuwa na taaluma ya uchumi aliyebobea angetoa conclusion ya kipuuzi kama ile bado tungemkosoa.

Utafiti siku zote lazima uanzie na population na baadae sample. Sasa population ya huyo mama haikuonyeshwa na wala sample yake haikuonyshwa na wewe ukaingia kichwakichwa kutaka kutuaminisha kuwa Tanzania imeendelea ati kwa kuwa mzungu kasema. Mental slavery. Na Jenerari Ulimwengu kwenye makala ya RAIA Mwema ameandika vizuri jinsi watawala wetu wasivyofanya kitu na wakiwa ctiticised wanasema mbona huko nje tunasifiwa?

Anyway itoshe kusema kuwa wewe ni mnafiki unashabikia kitu ili umfurahishe mtu. Kwenye hili la polisi si waandishi wa habari tu wawagomee bali tuazie kwenye pubs, bar, magengeni, madukani, kwenye ya bure, kwendnye alaldala maana wapenda vya bure, shuleni, hospitalini and what have you. Silaha zote zitumike to have these people isolate and message will be sent.

Thereafter, they will come to their senses and will narrate the situation to their bosses how they are in hot soup. Habari inaweza kupatikana sio lazima itoke polisi. Wenye mapenzi mema kama yule aliyeangaika kumwokoa marehemu bahati mbaya naye akapoteza mguu watakuja watuambie sisi wenye nchi kwamba jamani sisi hatumo.
 
Last edited by a moderator:
mimi naona huyo amefilisika mawazo!hana jipya na hatutasoma habari zake...kwenye mbunge alikuwa msaliti hivyo hatushangai kwa kazi yake ni kusaliti wenzake.
 
Ntaramuka,
Ungewasaidia basi wachangiaji wa mada uliyoianzisha kwa kuwaeleza sababu ama hoja za Mjengwablog za kuendelea kuandika habari za Kipolisi. Vinginevyo, ni aina hii ya maswali uliouliza bila kueleza kilichosemwa na Mjengwablog ndio hupelekea upotoshaji wa jambo zima na watu kuishia kumjadili mtoa hoja badala ya hoja iliyowasilishwa mezani. Natumaini hukufanya hivi kwa kukusudia.

Maggid
"I believe in equality for everyone, except reporters and photographers." – Mahatma Gandhi
WEWE NI MNAFKI NA MSALITI WA WENZAKO...NAKUHAKIKISHIA HATA UBALOZI WA NYUMBA KUMI WEWE HAUFAI NA HUTO PEWA COZ WATU WAMEISHA KUJUA NI MNAFKI
 
Ndio maana sishangai watoto wa Maggid kutumia ubini wa Mama yao, kumbe Wananwake wa kizungu wanaona mbali sana. huyu jamaa ni Bogus kabisa na narudia kusema asingeolewa na mwanamke mzungu huyu jamaa angekuwa ni mchawi sasa hivi.
 
Waandishi mnaogoma kuandika habari zinazohusu jeshi la polisi mtameza matapishi yenu. Mngesema hivi" WAANDISHI KUGOMA KUANDIKA HABARI ZA IGP SAID MWEMA" ningewaelewa na ningewaunga mkono.

Kwa mfano kituo cha Chanel 10, radio Country, Ebony FM, nk vikipata matatizo ama ya kuibiwa au kuunguliwa moto taarifa zao watapeleka wapi? Waandishi wakumbuke Godwin alipopigwa na kijana mdogo Diamond Platnum pale uwanja wa Samora Iringa ni polisi ndio waliomsaidia, Mwandishi Maregesi Gilshon alipopata ajali ya gari ni polisi haohao waliomsaidia.

BUSARA ITUMIKE WAANDISHI MSIPEWE MANENO. AJALI IKITOKEA POLISI WATAFIKISHAJE TAARIFA KWA NDUGU WA MAJERUHI. HAO MAITI TAARIFA ZAKE TUTAZIPATAJE?USITUKANE UKUNGA NA UZAZI UNGALIPO.

Mkuu hayo yote ni majukumu yao, lakini wanapofikia hatua ya kupamabana na hao ambao wanasaidiana nao kufikisha ujumbe, nadhani hapo ndipo upande mmoja unapofikia kujitoa katika hilo.

Polisi wangeutambua umuhimu huo wa WAANDISHI WA HABARI katika kazi zao, nadhani wasingethubutu kufaanya yaliyotokea kule Iringa na hasa kwavile walikuwa na uhakika kuwa huyu ni Mwanahabari, hana Silaha yoyote, na zaidi tumeshamzingira hakuna asaababu ya kumpiga mpajka kufikia kifo chake.

Ujue, katika vita, pamoja na ukali wote wa vita, wandishi wa habari na watu wa Msalaba Mwekundu huwa hawaguswi kabisa na pande zinazopigana, Daudi alikuwa anafanya kazi za kutaka kujulisha jamii kipi kinatokea pale,kilichotokea kwake ni kinyume cha hiki tunachotaka waandishi wa habari waendelee kuandika habari za Kipolisi wakati inaonyesha Polisi hawawataki waandishi.

Tukio lile lilikuwa si la kivita, inashangaza kuwa hapa kwetu hata katika matukio ambayo si ya vita, watu wanaua mwandishi wa habari!!!
 
September 6, 2012


mm.jpg


Mwandishi Francis Godwin (kulia) akiwa na marehemu Daudi Mwangosi (katikati) Enzi za uhai wake.
 
Maggid atakuwa ameshiriki kwa namna moja ama nyingine "kutengeneza" kifo cha kinyama cha Shujaa Daud Mwangosi,
MAGGID wewe ni muuwaji, wito wangu nae ahojiwe, ushahidi unaonyesha umeshiriki. na damu ya Mwangosi itakufuata daima.
 
Kama mtu ni mnafiki apewe linalostahili....sometimes waandishi ni wanafiki wanawalamba mafisadi miguu kupotosha ya umma shauri ya njaa zao...R.I.P kamanda Mwangosi umefia vitani ukiwahoji wauwaji policcm.
 
Mbali ya tukio la mauaji ya mwandishi mwenzetu Daud Mwangosi, hatuwezi kuacha kufanya kazi na polisi kupata majibu ya matukio mengine ya kihalifu yanayotokea katika jamii kwa vile tu tuna mgogoro na polisi.
Ni kweli binadamu tunatofautiana nami pia kwenye hili nakuunga mkono pamoja na kwamba muda mwingi na hasa kupitia makala zako Rai Mwema nimekuwa na mtazamo hasi. Naomba kwenye hili uweke msisitizo kuwa taarifa zitakazo fanyiwa kazi na wanahabari ziwe taarifa za kihalifu za kipolisi dhidi ya raia tu hadi hapo watakapo jirekebisha na jamii kuona wamerekebishika na wala sikwenda kupokea taarifa feki za kipolisi zinazotengenezwa maofisini. (tumeua li-jambazi na mengineyo..........)
 
Natowa ombi kwa wanJF wote wenye mapenzi mema ku boycott blog ya Mjengwa, mimi nimeshachukuwa hatuwa kwenye Pc yangu tayari nimeshaiblack list hiyo blog yake kama nilivyofanya kwa blog ya Michuzi siku nyingi tu. JF inanitosha sana na wala sintopungukiwa na kitu.

Dawa ya mpumbavu kama huyu inapaswa aone idadi ya wanaotembelea Mtandao wake inapunguwa kwa kasi ndio akili zitamrudia, nilishangaa ni kwa nini Vodacom walimnyima tuzo kwenye blog 10 bora mpaka anapewa DJ fetty na Milard Ayo lakini sasa jibu nimeshali[pata. Wanafiki hawastahili tuzo yoyote si Duniani wala mbinguni.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom