Recent content by mweda

  1. mweda

    Update:- Msimu wa korosho na minada ya korosho 2024/25

    HII bei ilitarajiwa tu na itaendelea kushuka kulingana na mzigo ulivyokuwa mwingi kweny warehouse na Kwa wakulima ndio kwanza hujatoka tunaweza funga msimu na bei za 2000+ Kwa uzoefu wangu
  2. mweda

    Niulize kuhusu mgogoro wa vita wowote duniani nitakujibu papo papo!

    nan yuko nyuma ya pazia juu ya migogoro ya wenyew kwa wenye nchi ni myanmar /bama
  3. mweda

    Niulize kuhusu mgogoro wa vita wowote duniani nitakujibu papo papo!

    nipe kiini cha mgogoro kati ya Morocco na nchi ya sahara ya magharibi
  4. mweda

    Niulize kuhusu mgogoro wa vita wowote duniani nitakujibu papo papo!

    nn chanzo cha machafuko 2013huko mikoa ya kusin mda wa utawala wa Kikwete ambayo yalitiwa kwa jina la vurugu za gesi
  5. mweda

    Niulize kuhusu mgogoro wa vita wowote duniani nitakujibu papo papo!

    vp chanzo cha machafuko ya waasi huko Msumbiji eneo la kaskazini
  6. mweda

    Msaada: Namna ya kuripoti uhalifu wa kutumia silaha za moto bila kwenda Polisi

    Na kama unachuki NAE ukienda kumripoti bla ushahidi wa kutosha lazma ukaozee ww
  7. mweda

    Msaada: Namna ya kuripoti uhalifu wa kutumia silaha za moto bila kwenda Polisi

    Huyu c mkweli kuna mtu anachuki NAE na kwa taarifa yako polisi wasas bongo wa kitengo cha ugaidi wako makini sana kwa ufatiliaj kwa ishu za ugaidi kama unaamini unachozungumza ni cha kweli mpeleke na ubalozi wa Marekani nako pia wako vizuri kwa kesi za ugaidi nako kama unachuki NAE wala hutobowi...
  8. mweda

    Huenda ombi la kununuliwa Darubini ni kuudhalilisha Uislam

    Nani anaweza nitajia chanzo chao cha mapato hao bakwata ni waislamu tu wenyewe hatujitambuwi kila siku kazi ya kuambiwa hyo taasisi mnayoifata wapi wamejenga msikiti au hata chumba cha madrasa haizidi haipungui pesa za wafadhili huko nje wanakumbatia wao na kujinadi wamejenga wao wao kama wao...
  9. mweda

    Huenda ombi la kununuliwa Darubini ni kuudhalilisha Uislam

    Mimi sioni tatizo kwa mufti kuomba mashine ya kuangalia mwezi au msaada wowote kwa serikali kwa sababu bakwata na viongozi wake jukumu lao kubwa walilowekwa pale ni kugombanisha uislamu na waislamu na serikali wale wapo pale kuhudumia serikali na si kuhudumia uislamu ndio maana chaguzi zao na...
  10. mweda

    Sayansi ya uchawi na umbile lake

    Uchawi haufayi kuujua na wala kujifunza huyo akikwambia hivyo anajua kwa hyo kukusaidia kwake anakwambia hivyo ila ukiujua ni majuto tu na huwezi toka inabidi upambane huko huko
  11. mweda

    Sayansi ya uchawi na umbile lake

    Kumbe ndivo na yy ana rank anapanda uko kuzimu Na kuna mganga mmoja aliniambia kuwa huu utajiri wa kishirikina ni kuwa kama utakuwa utajiri unaendelea baada ya kufa mmiliki wa kwanza madhara yake yale yanawatafuna hata hawa watakaorithi hili likoje
  12. mweda

    Sayansi ya uchawi na umbile lake

    Hii ya kutumikishwa na hao viumbe baada ya kifo bandia au kifo mazingaombwe ndio inayowakuta ndugu zetu wa utajiri wa ndagu (kinga) tribe baada ya kupewa jini limpatie mali kwa miaka 5 then ana muuwa na kuanza kumtumikisha yey mpaka atakapopata natural death SAS swali linakuja kwann waganga...
  13. mweda

    Sayansi ya uchawi na umbile lake

    Aise umeenda deep sana kwa Kweli uchawi ni kitu kibaya kabs na hakifai kujifundisha wala kufundishwa
Back
Top Bottom