Recent content by Mwazange

  1. Mwazange

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mama Salma Kikwete achukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea jimbo la Mchinga kupitia CCM

    Bill Clinton alifanya..... si kitu ya ajabu.
  2. Mwazange

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mama Salma Kikwete achukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea jimbo la Mchinga kupitia CCM

    Kazi gani Bill Gates anayofanya ya kutafuta pesa hivi sasa?
  3. Mwazange

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yatengua hukumu dhidi ya Joseph Mbilinyi (Mb)

    Lugha ya kitaalamu wanaita, "By proxy..."
  4. Mwazange

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Samia Suluhu: Mimi ni namba 2 Tanzania, sina cha kunishawishi kuwania namba 3

    Kwani anachaguliwa na wananchi au anateuliwa na NEC?
  5. Mwazange

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amkingia kifua Paul Makonda. Asema yeye ndie anapanga nani akae wapi!

    Kauli yako is half-truth.... Nakubaliana na wewe kuwa, Kampeni ya Gwajima ni binafsi.... his ego is bruised. Hali ilipofikia ni kuwa kila mkuu atakalofanya kuhusu Makonda, lazima Gwajima a-claim credit kuwa yeye kasababisha. Hivyo inabidi akomae nae tu. Sikubaliani nawe kuwa Mkuu hawezi...
  6. Mwazange

    JamiiForums Tanzania Magufuli ni extremist sio strong leader kuna tofauti

    "Huyu ni statesman ambaye anaendeshwa kwa principles sio mihemko ya kundi dogo la watu ambalo linataka kumpelekesha...." Anaendesha nchi kwa mihemko ya kwake mwenyewe kama sio ya kundi dogo, hilo pia ni tatizo.
  7. Mwazange

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awaambia Waandishi wa Habari wawe makini, hawako huru kihivyo...

    Tuangalie huku na kule, lakini kauli za muheshimiwa sasa, zinatishia maendeleo ya jamii.
  8. Mwazange

    JamiiForums Tanzania GWAJIMA: Mimi ndio chanzo cha Nape kuondolewa uwaziri

    Kuna vitu vingi tu hapa umeviunganisha pamoja. "Na pia elewa Gwajima ni mtumishi wa Mungu ambaye ana waumini nyuma yake" Gwajima pia ni mkazi wa Dar-es-salaam. Hivyo kama alikumbwa na fagio la kuitwa kuhojiwa, sidhani kama mungu anafundisha visasi vya namna anavofanya yeye. Wako watumishi...
  9. Mwazange

    JamiiForums Tanzania GWAJIMA: Mimi ndio chanzo cha Nape kuondolewa uwaziri

    Lakini yeye ndio anaitia imani kwenye mgogoro. Kwa nini atumie madhabahu kuongelea siasa? Akakodi Jangwani basi.
  10. Mwazange

    JamiiForums Tanzania GWAJIMA: Mimi ndio chanzo cha Nape kuondolewa uwaziri

    Ingawa sitetei yaliyofanywa na Makonda, lakini Gwajima naye anatafuta kiki za ajabu sasa.
  11. Mwazange

    JamiiForums Tanzania Gwajima atembelea Clouds media, asema yeye amekuwa mwanafamilia wa Clouds

    Hii imeshakuwa mipasho sasa.
  12. Mwazange

    JamiiForums Tanzania Are there any Microsoft SCCM enthusiasts here?

    Hello, are you SCCM junkie? Let me know. I've been looking for somebody who has that interest.
  13. Mwazange

    JamiiForums Tanzania Magufuli hakupunguza ukubwa wa Serikali, ameongeza

    Tofauti niliyoiona mimi ni kuchagua watumishi wengi na kapunguza wanasiasa. Ila ile kauli mbiu kupunguza ukubwa wa serikali, kiini macho tu.
  14. Mwazange

    JamiiForums Tanzania Majungu ya Kigwangalla kwa Dr. Mwaka sio jambo zuri

    Dah mbona na mimi nimehudhuria basic training nyingi tu, na sithubutu kujiita cheo sawia na udaktari?
Back
Top Bottom