Magufuli Watanzania walimchagua wakijua atakuwa strong leader lakini badala yake amekuwa extremist. Tofauti kubwa ya strong leader ni mtu ambaye ni mzuri kwenye utekelezaji, anatafuta soluhisho sahihi ya tatizo, na anatumia watu wa chini yake vizuri kuweka matokea. Maguli na serikali yake ya sasa ni extremist maana wanaamini kabisa wenyewe tu ndiye wanajua mazuri na mabaya kwa nchi na Watanzania wote. Na ndiyo maana hawaoni mitandao ya kijamii au vyombo vya habari ni muhimu kama havita support wanachokisema au maamuzi yao. Vilevile wenyewe pekee ndiyo wanajua ni kitu gani kizuri kwako kiafya, kielimu, kiutamaduni na kiuchumi maana wenyewe wanajua kuliko wewe. Hivyo wakifanya maamuzi na wewe ukaona hayafai wanaona kama wewe hujui kwamba wanakupenda kuliko wewe mwenyewe na wewe hujui hata zuri na baya kwako ni lipi. Hii ndizo fikra walizonazo madikteta pia na socialist kama viongozi wa Venezuela, Cuba na North Korea. China atleast ni tofauti maana ni chama ndiyo kina ongoza nchi sio raisi pekee...... Msishangae yanayotokea tuna Raisi extremist yeye hata ya agree na disagree bali ana strong agree na strong disagree pekee watu wa hivi sio vizuri kuwa viongozi wa nchi ya type yetu