Recent content by mwayungi

  1. mwayungi

    Aliyemuelewa Mo Dewji kuhusu uwekezaji Simba atujuze

    Hilo jamaa kavulata ni jinga fulani hivi miaka yote simba ipo hakuna aliyethubutu kuweka mpunga
  2. mwayungi

    Aliyemuelewa Mo Dewji kuhusu uwekezaji Simba atujuze

    Akiwauza hao wewe unaumia nini?? Kuna zile hisa asilimia 51 ukanunue ili tujue unauchungu na team kenge wewe
  3. mwayungi

    Aliyemuelewa Mo Dewji kuhusu uwekezaji Simba atujuze

    Wewe umeweka shilingi ngapi hata hiyo kwenye Yanga yako??
  4. mwayungi

    Aliyemuelewa Mo Dewji kuhusu uwekezaji Simba atujuze

    Wewe ni miongoni mwa wajinga ambao hata hiyo Yanga yako huna msaada nayo zaidi ya kelele tu
  5. mwayungi

    Ukweli Mchungu kwa Wanasimba: Televisheni ya Yanga kuwa na Thamani kubwa kuliko Klabu ya Simba ni upumbavu

    Alisema hayo baada ya kutoka kwenye uongozi?? Maana yake alikuwa sehemu ya maslahi yake alipoona hana maslahi ndiyo kaongea hahahaaaa
  6. mwayungi

    Aliyemuelewa Mo Dewji kuhusu uwekezaji Simba atujuze

    Muda mnaopeteza kujadili mapungufu ya hasimu wenu simba mngekuwa mnaijenga yanga hakika mngekuwa mbali sana
  7. mwayungi

    Aliyemuelewa Mo Dewji kuhusu uwekezaji Simba atujuze

    Yanga fanyeni usajili achaneni na habari za simba.Walipokosea nyinyi fanyeni vizuri upande wenu. Hamtapata makombe kwa kumchambua MO
  8. mwayungi

    Kisa kilichotokea wakati wa kutafuta mekyuri

    Matapeli ni wengi sana ila haya mambo yapo sana
  9. mwayungi

    Natafuta mume Muislam

    Under 23 haututaki!?
  10. mwayungi

    Mo Dewj mjanja Sana

    Ungetuliza mshono kwa majibu ya mashabiki
  11. mwayungi

    Ukweli Mchungu kwa Wanasimba: Televisheni ya Yanga kuwa na Thamani kubwa kuliko Klabu ya Simba ni upumbavu

    Nilichokisoma ni michango ya kishabiki na sio kuelewa
  12. mwayungi

    Mwigulu: Wananchi wanaenda kupata fedha nyingi, watazoea makato

    Yani huo ndiyo uozo wa CCM
  13. mwayungi

    Mwanza: Askofu Mwamakula na Dkt. Lwaitama wakamatwa na Polisi

    Mbwa wewe mlivyokuwa mnasifiwa kipindi cha jiwe
Back
Top Bottom