Acha uwongo wewe. Organic Foods ni ghali huko kwa wazungu kuliko GMO, hujiulizi kwa nini? Maendeleo ya sayansi na teknolojia visikufanye kuwa mjinga wa kutopembua zuri na baya
Wanaharakati wa haki za binadamu ni vipofu ingawa wana macho, viziwi ingawa wana masikio au la ni unafiki wanaojifunza toka kwa mataifa wafadhili wa hizi harakati zao.Yaan tatizo la Congo DRC unalishitakia kwa International Community? Ili wao wafanye nini na kwa nani na kwa lipi? Au Ndosi...
Kama wahalifu watapewa haki kiasi hicho basi hakuna atakaeogopa kuwa mhaifu. Umewaza maumivu wanayopata wasanii kwa kuibiwa kazi zao halafu ukavaa wewe uhusika? Ungefanya hivyo usingeandika hizi porojo.
Lakini Kabwe wewe hufai kuitwa ndumilakuwili? Mimi siyo mnazi wa vyama, ila mliwahi kukosoa kuwa TRA ni waongo wamekokotoa thamani ambayo hata Barrick hafikii thamani yake, sasa mlitaka Barrick walipe pesa ambayo ni uwongo? Lakini pia siyo nyie mmekuwa mnalaumu kuwa kuwagusa hawa wanyonyaji ni...
Unafiki wetu Watanzania ndiyo unaonekana hapa, yaani tunaibiwa na tumekuwa tunalalamika miaka yote lakini mtu akijitokeza kufuatilia tunaanza kugeuka ooh sheria, fidia!!!! Hivi hawa Wazungu wamewaroga akili nyie watu? Mtu akili timamau unaanza kushabikia ACACIA? Kwa akili ya kawaida mnadhani...
Iwe kweli au ila nimepata hofu kuamini baada ya kuona zile picha zinazoonesha akina dada wakikatwa shingo zao kwa shoka. Najiuliza aliyekuwa anarekodi halafu kuzituma mtandaoni alikuwa na lengo gani. Naona kuna kupakana matope zaidi kwa hawa Waoman ingawa hawa jamaa zetu Waarabu na Wahindi wana...
Kua mambo unapotosha, Tanzania hili siyo tukio la kwanza,tulishapoteza wanafunzi kwenye ajali ya moto kule Shauritanga sekondari mkoani Kilimanjaro kama sikosei walikuwa 40, hata hivyo tuache kulalamikia vitu visivyo na msingi watoto waombewe wapumzike kwa amani mbele ya safari yao ya milele...
Maneno mazuri wakati nchi inauzwa?????? Hizi akili za wapi?????? Jiulize tunamiliki nn kama taifa,madini ni yetu???, gesi ni yetu??? hebu niachie hapo nisije kutukana bureeee....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.