Recent content by Mwatis

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ulipokeaje na ulikuwa wapi siku ya tarehe 17 Machi, kifo cha Dkt. Magufuli

    Hivi nyie mnaoshangiria kifo cha Magufuli, Mshajiuliza kwa nini reply zenu zinapata like chache? Kuliko zile reply za wanaonesha kuhuzunika kutokana na kuondokewa jemedari Magufuli.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna tatizo miradi mikubwa ya kimkakati kuelekezwa Chato

    Najua wengi tunalalamika sababu imejengwa chato ,wengi wangetamani ijengwe labda mwanza lakini mwanza tiyari kuna Bugando hospital Musoma tiyari kuna Mwalimu nyerere hospital ambayo imekamilika hivi karibuni. Ujenzi wa hospital chato umezingatia strategic reason kwa madhumuni ya kuhudumia...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Simba: Tumeiomba CAF tujaze mashabiki uwanjani kwa asilimia 100 mechi ya Platinum. Yasema nguvu ya Simba ni mashabiki wake

    Kweli brother kwa mikia kutolewa nilazima. Wao wenyewe wanajua wanatolewa ndio mana manara anaweweseka kila siku anakuja najipya hajiamini kabisa.Mara oooo war in dar Mara oo sisi sio timu ya wanaichi au wazalendo leo tena kaja jingine analalamika anahofia yanga tunawahujumu.ko kwa ushahidi huu...
Back
Top Bottom