Recent content by MWATAYAVYO NDOGOROGO

  1. M

    Uweledi wa Dr Mwakyembe umeyeyushwa na Uwaziri?

    katika watu wanaopotea kisiasa ni pamoja na mwakyembe,alikuwa mwl. Udsm sasa hivi yuko kwenye mambo ya siasa udk. Wake ulishaisha kabisa,na kwasasa apuuzwe tu kama ameweza kukana na kukisimamia kile alichokuwa ameandika ni hatari sana kuwa na wasomi wa sitairi hii.
  2. M

    Waziri wa JK alitibua Bunge la Katiba

    ni moja ya kiburudisho cha wale wanaume walioko ndani ya ccm,ndo maana walichaguliwa kwanza hawana uwezo wa kujenga hoja,kwasababu sio kazi waliokwenda kufanya wao wanajua kazi iliyowapeleka ni kuburudisha viongozi wao,tena huyu mama nasikia anagawa sana k.
  3. M

    Waziri wa JK alitibua Bunge la Katiba

    hawana lolote hawa siku ni ngono tu imetawala ndani ya ccm,huyu mdada anachofanya ni kujipendekeza kwa mabasha wake kama jmk,nepi,nchemba anapenda sana ---- na anawavua sana,lukuvi,nkumba,kigwangara,makonda na wale wote wapenda ngono ndani ya ccm mmewageuza hawa madada kuwa viburudisho vyenu...
  4. M

    Wasomi wanapoamua kuweka elimu yao mfukoni,je tutafika?

    Nimekuwa nikifuatilia mjadala wa bunge maalumu la katiba,hofu yangu ni pale waliowengi kushindwa kujenga hoja na kuongea vitu ambavo hata mtu mwenye elimu ya darasa la saba hawezikuongea,hili kundi la wengi ni la ccm na kuna maprofesa na madk wa aina mbalimbali cha kushangaza hata tunaowaita...
  5. M

    Anna kilango na Sendeka wanaangusha wanaccm

    Hawanao hawana lolote,hata ubunge wao ninamashaka nao kuwa walichakachua,ndo maana hawana hata ushawishi wa kujenga hoja,wananchi wa majimbo haya amkeni hawa hawawafai tena wamesha expery.
  6. M

    Dr Francis Michael Umetuangusha Kwa Hoja dhaifu katika dhana ya utafiti

    Wasomi watz ni noma,watauza elimu yao hadi miili yao ngoja tuone.ccm wana mbinu nyingi sana za kuwarubuni wasomi.
  7. M

    CV ya Dr. Francis

    Hana lolote,elimu yake ya kuungaunga ndo imemfanya asijiamini.
  8. M

    Dr Francis Michael Umetuangusha Kwa Hoja dhaifu katika dhana ya utafiti

    Wanadanganya watu eti mtu kama mwakyembe ni mzalendo wakati hata kauli zake anazikana.shame on you,wasomi wote mnapokuwa ndani ya ccm huwamnalishwa nini mbona uelewa wenu unakuwaga ni mfinyu sana,kweli mmezoea uongo kwahiyo hata siku moja hamuwezi kusema ukweli.ila mnajishushia heshima.
  9. M

    Dr Francis Michael Umetuangusha Kwa Hoja dhaifu katika dhana ya utafiti

    yeye na mwakyembe hawana lolote pamoja na wale maprofesa walioko ndani ya ccm wale wote wameamua kuweka elimu zao mifukono na kwasasa wanatumia makalio katika kufikiri aibu sana,hawa ndo madk. wanao fundisha watoto wetu UDSM.
  10. M

    Dr Francis Michael Umetuangusha Kwa Hoja dhaifu katika dhana ya utafiti

    Inauma sana pale tunaposema tunawasomi wakuweza kutuonesha mwanga wa huko mbele tuendako halafu inakuwa kinyume chake msomi mzima DK,PR. Kuhongwa na kutumia taaluma vibaya ni makosa sana,wasomi wetu walio wengi ni njaa ndo maana wanafikia kuweka taaluma zao mifukoni eti kwa maslahi ya ccm,je...
  11. M

    Kingunge Ngombale Mwiru

    HUYU MZEE KWANZA MCHAWI NA NDO MAANA AMEENDA BUNGE LA KATIBA KUPITIA WAGANGA WA KIENYEJI.SASA SIJUI WALILENGA AENDE KULOGA BAADHI YA MAMBO WATU WAWE WANASEMA ndiyoooo,kama walivyozoea magamba.
  12. M

    Mwongozo wa Mbowe; Ufafanuzi wa Lissu kurudiwa Jumatatu; soma maoni ya wachache Kamati Na. 4

    Hawa maccm wanatumia mashirika ya umma kama ya kwao au ya chama,kamwe tusiruhusu akili ndogo itawale akiri kubwa.
  13. M

    Tamko kutoka TBC: Mvua iliathiri mitambo wakati wa hotuba ya Lissu

    AMA kweli SEREKALI IMESHIKWA PABAYA MPAKA WANAAMUA KUZIMA VITUO VYA KURUSHIA MATAngazo kama tbc ili tu kuwanyima watu wasipate habari na waendelee kuwa wajinga.
  14. M

    Tamko kutoka TBC: Mvua iliathiri mitambo wakati wa hotuba ya Lissu

    ufafanuzi upi ambao ni mzuri wakati hizo ni polojo tu ,lakini wale maccm waliokuwandani bungeni tunajua ujumbe umefika na dawa imewaingia vyakutosha,then hawa tbc wote pale ni mamburula tu ndo maana wanapelekeshwa na ikumbukwe kwasasa kuna mburula mkubwa ambaye aliteuliuwa kuwa naibu waziri...
  15. M

    CHADEMA ni "professional"

    Hawa jamaa mi nawapenda sana kwanza wanajua kujenga hoja na wanaushawishi sio yale mamburula hawana lolote wamebakia kusema rais kasema mara nepi kasema yaani kila kitu ni kuambiwa hadi madk na maprofesa walioko ccm wote ni mburula tu.
Back
Top Bottom