Anna kilango na Sendeka wanaangusha wanaccm

Makupa

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
5,023
2,553
Nimekuwa nikifuatilia bunge maalumu la katiba kwa muda sasa,nilichogundua ni kwamba mheshimiwa Anna Kilango na Ole Sendeka wanatuangamiza kwa kushindwa kuwasilisha hoja zenye ushawishi kwa watanzania ,badala yake wanakuwa kama wanasoma ngonjera .Mzee wetu Samweli Sitta ni muda kuwaondolea hadhi ya uwenyekiti kwa kamati wanazaziongoza na kutuwekea wanasiasa vijana wa ccm wenye uwezo wa kujenga hoja mfano Peter Serukamba na hata Mheshimiwa Said Mchatta,chonde chonde hatutaki mipasho ya Richmond hapa
 
Ha ha ha ha, ukoo wa panya mnachekesha kweli kwani huko kuna watu wenye hoja au vioja? Kati ya hawa nani mwenye hoja? Lukuvi, wasira,Mwigulu, lusinde,Nkamia, komba, Ndugai, Makinda, Pinda,? Sioni hata mmoja anayeweza kuwa na hata 1% kati ya 100% za Tundu Lissu.
 
Hawanao hawana lolote,hata ubunge wao ninamashaka nao kuwa walichakachua,ndo maana hawana hata ushawishi wa kujenga hoja,wananchi wa majimbo haya amkeni hawa hawawafai tena wamesha expery.
 
Wakiambiwa vipindi vitatu vya ubunge vinatosha wao wanataka wakae milele kwa lipi jema na zuri wanalotufanyia zaidi ya kugonga meza huku bungeni?
 
Ha ha ha ha, ukoo wa panya mnachekesha kweli kwani huko kuna watu wenye hoja au vioja? Kati ya hawa nani mwenye hoja? Lukuvi, wasira,Mwigulu, lusinde,Nkamia, komba, Ndugai, Makinda, Pinda,? Sioni hata mmoja anayeweza kuwa na hata 1% kati ya 100% za Tundu Lissu.

Hahahaaaaaaaa wazee wa KUBWEKA(DOGS)......
superstar wenu ni mvuta Bangi TUNDU.
You will finally shake your tails as usual when bones are thrown in your direction.
Haijalishi mtabweka kiasi gani lakini MUUNGANO WA SERIKALI 2 ndio habari ya mujini.
If you don't want it....... Start parking your bags
 
Nimekuwa nikifuatilia bunge maalumu la katiba kwa muda sasa,nilichogundua ni kwamba mheshimiwa Anna Kilango na Ole Sendeka wanatuangamiza kwa kushindwa kuwasilisha hoja zenye ushawishi kwa watanzania ,badala yake wanakuwa kama wanasoma ngonjera .Mzee wetu Samweli Sitta ni muda kuwaondolea hadhi ya uwenyekiti kwa kamati wanazaziongoza na kutuwekea wanasiasa vijana wa ccm wenye uwezo wa kujenga hoja mfano Peter Serukamba na hata Mheshimiwa Said Mchatta,chonde chonde hatutaki mipasho ya Richmond hapa

Kama huwezi kuukataa UJINGA wako Huwezi kuikataa CCM... gamba we!!!!!!!!!
 
Hahahha.. Mlikuwa hamjajuwa mnaunguwa?ngoja jumatatu ndio mtajuwa mziki unanguvu au lah!
 
Nimekuwa nikifuatilia bunge maalumu la katiba kwa muda sasa,nilichogundua ni kwamba mheshimiwa Anna Kilango na Ole Sendeka wanatuangamiza kwa kushindwa kuwasilisha hoja zenye ushawishi kwa watanzania ,badala yake wanakuwa kama wanasoma ngonjera .Mzee wetu Samweli Sitta ni muda kuwaondolea hadhi ya uwenyekiti kwa kamati wanazaziongoza na kutuwekea wanasiasa vijana wa ccm wenye uwezo wa kujenga hoja mfano Peter Serukamba na hata Mheshimiwa Said Mchatta,chonde chonde hatutaki mipasho ya Richmond hapa

Jamani mbona Ole alikuwa Monduli 9 kawasilisha na kusoma saa nga[i hizo hoja?
 
Kilango ni mnafiki anamkana hata mumewe aliyefukuzwa kwa kuanzisha serikali ya tanganyika wakati wa G 55 ndi kusema hata Malecela nae sasa anataka serikalimbili?
 
Back
Top Bottom