Recent content by mwasengo

  1. mwasengo

    Mpaka leo hakuna theist aliyeweza kuthibitisha Mungu yupo, cha ajabu bado wanatuhubiria Mungu wao

    Tatizo letu tunataka hadi tumuone Mungu yule pale ndio tuamini kuwa yupo, lkn kuna vitu vingi tu vipo na tunaishi navyo lkn hatujawahi kuviona. Mfano binadamu tunajinadi kuwa tuna AKILI, lkn tukiambiwa tuonyeshe akili zetu zilipo, sijui kama yawezekana. Mwingine atakwambia, nasikia maumivu...
  2. mwasengo

    Anayeshtakiwa kumuua Mkewe adai haogopi Kunyongwa

    Nachopendea ndoa ni Kujambiana usiku, hadi kukicha pua zinekuwa kama babalevo kudadeki.
  3. mwasengo

    Uzi wa kutupia aina ya Gari kali ya ndoto yako!

    Hizohizo mkuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. mwasengo

    Uzi wa kutupia aina ya Gari kali ya ndoto yako!

    Sana Mkuu, shona mbili, Mundende si mchezo, hadi kaunda Suti mkuu[emoji1787][emoji23][emoji28][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji5] Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mwasengo

    Faida za kunywa gongo hizi hapa. Ukinywa bia huzipati ng'o!

    Pia ushuzi wa mnywa gongo ni air fresh tosha. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. mwasengo

    Sitosahau siku ambayo tulifika Mbeya saa saba mchana. Njia nzima nilitubu dhambi zangu

    Kaka bujibuji hujuwi maana ya Musjitiwa. Hicho ni kiarabu, tafsiri yake ni rahisi tuu. Unachukuwa herufi nne za mwisho. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. mwasengo

    Uzi wa kutupia aina ya Gari kali ya ndoto yako!

    [emoji28][emoji23][emoji1787][emoji28][emoji23][emoji1787][emoji28]. Nashkuru sana Mkuu, nikifanikisha nitakualika siku ya kuizindua, uwe mgeni wa heshima kuizindua Mundende. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. mwasengo

    Uzi wa kutupia aina ya Gari kali ya ndoto yako!

    Hiyo kitu mupya made in Kenya [emoji1139]. Muda sio mwingi namiliki hiyo kitu. Inaitwa Mundende. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. mwasengo

    Uzi wa kutupia aina ya Gari kali ya ndoto yako!

    Mambo yangu hayo. Muda utaongea Sent using Jamii Forums mobile app
  10. mwasengo

    Aina tano za wanaume

    Hapo kwenye mume mkavu lazima kutakuwa na mume mbichi. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. mwasengo

    Je, Biblia inasema nini kuhusu chakula?

    Naomba unisaidie kidogo Ndugu. Andiko linasema ""si kila kimuingiacho mtu humtia unajisi bali kitokacho"". Kati ya vyakula unavyokula, ni chakula kipi kikuingiacho. Namaanisha kwenye lugha ya kiswahili neno kuingia ni kama vile: ; Mtu kuingia kwenye nyumba. Abiria kuingia kwenye gari. Nyoka...
  12. mwasengo

    Kupayuka! Mbinu mpya ya kubaki kileleni?

    Yaani umenikumbusha yule ndugu yetu ambae japokuwa ni mgonjwa, na operation zinamuhusu, lakini bado anapata nguvu ya kuchokoka hospitali na kwenda nchi mbalimbali kupayuka ili aendelee kubaki kileleni. Kwa hili la RC Dsm kwa papaa Liquid kachemka. Binadamu anatakiwa kushauriwa ajirekebishe...
  13. mwasengo

    Nimemuona Hassan Mwakinyo akipigana, maoni yangu ni haya

    Hiyo chattopaw kaka akikutana na wanaotumia Ikungipaw atapata tabu sanaaa. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom