Recent content by MWASAMAJENDA

  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Zitto: Sitagombea Urais wala Ubunge 2015

    Ni kweli Zitto ni jembe ila haaminiki
  2. M

    JamiiForums Tanzania Vigezo vitakavyotupa Rais bora 2015 (Dini, Muungano, kipato, elimu, Katiba Mpya, wafadhili)

    Atambue na kuamini kuwa Tanzania si maskini, na hivyo kutokuwa ombaomba.
  3. M

    JamiiForums Tanzania PROFESA WA UD: Safari hii TUNAGOMA kweli kweli

    Hbr ni ya kweli, we tafuta tu maarifa mengine kabla familia haijaangamia.
  4. M

    JamiiForums Tanzania PROFESA WA UD: Safari hii TUNAGOMA kweli kweli

    Hapo kwenye red, nahisi mishahara ilienda kugharamia chaguzi za CCM. Kidumu Chama Cha Mapinduzi!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sitta: Sisubiri ruhusa ya mtu yeyote, nani asiyejua kuwa Chenge ni mtuhumiwa?

    Sipati picha anawafundisha nini wanafunzi wake pale UDSM.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Zitto: Serikali isipowataja walioficha mabilioni nje, CHADEMA itawataja hadharani!

    Mkuu, hivi Usagara ndo ilikuwa Tanga school enzi hizo? maana yeye aliwahi kusema kasoma Tanga school,
  7. M

    JamiiForums Tanzania Gen. Ndomba amrithi Shimbo

    Asante kwa elimu hii. Hata mimi nilikuwa najiuliza juu ya haya mambo.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa kumpongeza Jakaya Kikwete!

    sioni sababu ya kumpongeza, huo ni wajibu wake. Kwanza amefanya uamuzi huo baada ya kugundua kuwa haukua upepo bali katrina.
  9. M

    JamiiForums Tanzania First Lady umesahau ulikotoka?

    Mween, Unataka walimu wawe na vyeti vya aina gani ili uwatambue? Mimi ni mwalimu na kwa sasa ninafanya masomo ya shahada ya uzamili. Kuna wenye PhD pia. Tatizo siyo vyeti Mween, tatizo ni mfumo!
Back
Top Bottom