Recent content by MWARABUM

  1. MWARABUM

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kumshukuru Mungu kwa yale aliyokufanyia na anayoendelea kukufanyia

    Ninamshukuru Mungu kwa kuwa bado ninayo hii zawadi ya uhai alonipa maana nimeponea ajali iliyoniweka ICU takriban wiki 3 na siku 4,nikawa sijitambui chochote kinachoendelea duniani miezi 2
  2. MWARABUM

    JamiiForums Tanzania Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

    Cha kutumaini sina
  3. MWARABUM

    JamiiForums Tanzania Mistari katikati ya barabara inatumikaje kisheria?

    Hapo kiufupi unatakiwa kuangalia mstari uliopo upande wako,km mstari umepita mmoja huo unatumika pande zote mbili.Therefore km kuna dash hapo unaruhisiwa kuovertake,No dash usiovertake sio sehem salama hyo Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  4. MWARABUM

    JamiiForums Tanzania Je, Mwanamke anaweza kupata ujauzito baada ya kutolewa kizazi kwa kuombewa na Manabii na Mitume?

    Kulielewa hili swala jifunze imani na uweza wa nguvu za Mwenyenzi Mungu kwanza,bila hvo utaona wtu wanaongelea vitu vya kusadikika tu Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  5. MWARABUM

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dar: Pacha Rehema aliyebaki baada ya kutenganishwa naye afariki dunia

    Mponyaji ni Mungu pekee ila Madaktari ni watekelezaji tu kuisaidia afya yako. Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  6. MWARABUM

    JamiiForums Tanzania Nataka Jeans Kali niende Kariakoo au Maduka ya Sinza?

    Ingia Azizi House of Jeans wapo kinondoni morocco na kkoo Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  7. MWARABUM

    JamiiForums Tanzania Leo zamu ya wadada wa JamiiForums kutongoza wakaka wa humu! Tuone vocal zenu

    Mpo kweli mabebe wa jf? Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  8. MWARABUM

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Chimbo Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  9. MWARABUM

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Baada ya dona samaki
  10. MWARABUM

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Kaka mshana nahitaji mawasiliano yako naweza kupata
  11. MWARABUM

    JamiiForums Tanzania Kesi ya aibu

    [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
  12. MWARABUM

    JamiiForums Tanzania Jokes

    Na wao watanyamaza kujiuliza mbona tz wamenyamaza?
  13. MWARABUM

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua debe 1 ni sawa na kilo ngapi?

    Kuna mahindi mengine hayajakauka vzur lazima nayo yatofautiane na yale yaliyokauka vzur zaid
  14. MWARABUM

    JamiiForums Tanzania Kenya yaanza kulia lia, yadai haikuzuia ndege za Tanzania badala yake walitaka watu kutoka Tanzania wakitua Kenya wawekwe Karantini

    Hatujalogwa na yeyote bali bado tumetawaliwa na hao hao mabeberu
  15. MWARABUM

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Jeshi la Polisi lamuita Cyprian Musiba kwa mahojiano kuhusu tuhuma za kutaka kuuawa

    Hahahahaaa!!! Eti mwanaharakati kakamatwa
Back
Top Bottom