Recent content by mwarabu feki

  1. mwarabu feki

    JamiiForums Tanzania Tujadili Simba ina ukubwa gani mbele ya Yanga

    Hivi hakuna mambo ya msingi ya kujadili paka UJINGA UJINGA wa Simba na Yanga. Tukishapata Nani mkubwa halafu inakuwaje? Huu ndio mtaji wa CCM kuendelea kutawala
  2. mwarabu feki

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Yanga wanatumia nguvu kama vile mieleka wakati wa kukaba lakini waamuzi wa hapa huwa wanawabeba

    Basi Tatu Malogo apewe debi achezeshe😂
  3. mwarabu feki

    JamiiForums Tanzania Waganga wa Pangani waiumbua Yanga mkutano wa Rais leo, aibu kubwa sana hii

    Adeni rage alikuwa sahihi sana
  4. mwarabu feki

    JamiiForums Tanzania Singida Black Stars kuchezesha wazawa leo ili kupunzisha mastaa wao wa kigeni

    Kwani 5imba ilipopigwa 5 na Yanga, na kila siku inavyofungwa na Yanga je Mastaa wa Simba huwa wanacheza?
  5. mwarabu feki

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu awasili Manyara kushiriki Msiba wa Derrick Magoma

    Mungu ibariki CCM
  6. mwarabu feki

    JamiiForums Tanzania Trump :USAID have made African countries very lazy.

    Absolutely true 💯
  7. mwarabu feki

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini huwa ni rahisi kwa Yanga kuwashawishi baadhi ya wachezaji wa timu pinzani waharibu na kucheza chini ya kiwango?

    Ungewaomba utopolo wakuchangie fedha ili utupe ilo kopo lako infinix X626 ungeonekana wa maana zaidi
  8. mwarabu feki

    JamiiForums Tanzania Mliooa wanawake wenye changamoto hii mnafanyaje?

    Wakati wenzako Wanahangaika Kwa wamasai kutafuta dawa za kuwafikisha wenza wao kileleni wewe unaleta malalamiko ya kumkejeli mkeo anayefika kileleni🤔, kijana wa hovyo kabisaa 🚮
  9. mwarabu feki

    JamiiForums Tanzania Baada ya kulipa Mahari kwao Ndipo nimegundua ana Majini

    Umeyakanyaga mjomba😂😂.. nicheki PM nikusaidie
  10. mwarabu feki

    JamiiForums Tanzania Tathmini fupi mechi ya Constantine fc vs Simba fc

    Hili kombe timu zake bi unga saana.. Yani ni timu za matopeni kabisaa, caf wanapaswa kulifutilia mbali
  11. mwarabu feki

    JamiiForums Tanzania Ili kunusuru msimu huu, Kocha anapaswa kufukuzwa Haraka iwezekanavyo

    Unatafuta matusi kwa lazima eeh??
  12. mwarabu feki

    JamiiForums Tanzania Ili kunusuru msimu huu, Kocha anapaswa kufukuzwa Haraka iwezekanavyo

    Hauitaji hata D 2 kujua hapa hamna kocha...Kuanzia ufundi, mbinu na kusoma mchezo vyote hamna kitu.. Ama kweli Tuliruka mkojo sasa tumekanyaga mavi. Vipigo vitaendelea hadi uyu mpuuzi atapofukuzwa.... Huu ni zaidi ya utopolo[emoji706][emoji706]
  13. mwarabu feki

    JamiiForums Tanzania Rais wa TFF, Wallace Karia akosoa kelele na propaganda zinazochafua Soka la Tanzania, "leta ushahidi TFF, nje na hapo sivutiwi"

    Hili linawahusu zaidi wale wanaoshiriki kombe la kina mama(luza kapu)
  14. mwarabu feki

    JamiiForums Tanzania FT: MC Alger 2-0 Young Africans | CAF Championship League | December 7, 2024

    Matumaini yalikuwa makubwa sana ila baada ya kipigo cha Al Hilal ni kama vile nimeikatia tamaa timu yangu... Anyway, kila jema likawe mbele yenu Wananchi.....[emoji123]
  15. mwarabu feki

    JamiiForums Tanzania FT: Namungo FC 0-2 Young African SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.11.2024

    Huyu kocha wetu hamna kitu. Ona hii sub ya hovyo kabisaa anafanya
Back
Top Bottom