Recent content by Mwapa

  1. M

    JamiiForums Tanzania JamiiForums na FikraPevu, walaani nguvu inayotumika kuzuia uhuru wa maoni

    hivi walikuwa 191?dah wengi sana wameshatoka?polen sana jamii
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Kikwete imeharibu kabisa ufungaji wa kampeni za Magufuli

    Lowasaaaaaaaaaaaaaa mpango mzima
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Kikwete imeharibu kabisa ufungaji wa kampeni za Magufuli

    Rais anakuja kutulalamikia sisi tufanye nini ati watu hapa wanamsifia where is this country heading to???dah inasikitisha sanaaaa watanzani na ushabiki wa ajabu SWALI NI KWANINI HAKUMSHITAKI LOWASSA?YEYE NDIE MKUU WA NCHI!!HILI PEKEE LINATOSHA KABISA KUWAADHIBU CCM.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Philip Filikunjombe Pole Kwa Msiba Lakini Hatma Ya Jimbo Itahiji Mtu

    na nina uhakika handeni watampa omari kigoda!!kama ilivyokuwa kwa kombani
  5. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    lowassssaaaaaaaaaaa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kiboko ya Sumaye ni Mary Nagu

    Miaka yote nagu amepitia mgongo wa lowassa hana chake
  7. M

    JamiiForums Tanzania Sitta Ataka Mdahalo na Lowassa Kuhusu RICHMOND; Asisitiza Kuwa Lowassa ni Fisadi!

    Hivi wewe unaushahidi wa wizi then unataka mdahalo tanzania tunaenda wapi????hii ni hatari sanaaaaaaa mdahalo kwa manufaa ya nani???yani kwa kweli nimemdharau sanaaaa sitta!!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lamuweka wazi mfadhili wa matukio mbalimbali ya kigaidi Tanzania

    polisi ni chombo kinachochukua maagizo kutoka juu hata waingie ukawa hiyo haitabadilika tunawalaumu sana ila tunawaonea
  9. M

    JamiiForums Tanzania January 25, 2014 Tanzania ilikuwa na vijiji 19200 ukizidisha na milion 50 za Magufuli

    hivi hamkutueleza ufisadi wa lowassa jangwani mtausemea wapi viongozi wenu wote walimkwepa nahisi ana majina ya escrow au vipi?
  10. M

    JamiiForums Tanzania ONYO: Makongoro Nyerere kabla hujafa hujaumbika

    mgonjwa wewe ni mama Regina kama mmechikua nafasi ya mama wa watu utwambie tujue
  11. M

    JamiiForums Tanzania ONYO: Makongoro Nyerere kabla hujafa hujaumbika

    Achekaye kengeza.......jana nimemuangalia makongoro akicheka kwa kejeli sana na kuongea kwa mbwembwe kua lowassa ni mgonjwa!!nataka nimkumbushe kaka makongoro huyo hapo ni mwai kibaki mwaka wa 2002 alipowatoa kikongwe cha kenya kanu madarakani hakuna alieamini angekwenda mihula 2.kibaki...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mwenyekiti wa wenye viti CCM, Mgana Msindai achukua fomu ya ubunge Jimbo la Singida

    Hivi uchu wa madaraka ni nini??vijana wa ccm mtazeeka vibaya thanks for telling us nothing!!!dah viongozi wa ccm hawana uchu wa madaraka baada ya miaka yote hii nini wanakingangania pale magogoni!?????
  13. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Tanga wamuunga mkono Slaa

    kwani kuna chadema tanga?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Paul makonda: Bara bara za Kinondoni zimejengwa chini ya kiwango na ni wizi Mtupu

    kwa hili alilolifanya makonda leo hawezi kubaki salama imekula kwake amekivua chama nguo!!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kikosi cha kampeni cha CCM chatajwa kuongozwa na Kinana, Nape na Mwigulu ndani

    80% wana majimbo na jasho lazima liwatoke watapata wapi mda ya kuzunguka na magufuli kwa hali ilivyo hakuna mbunge atacheza mbali na jimbo lake kazi ipo!!!
Back
Top Bottom