Kiboko ya Sumaye ni Mary Nagu

Kiboko ya Sumaye ni Mary Nagu

Yeremia 17: 5 Bwana asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake

MMELAANIWA CCM MUMFANYAYE MAGUFULI kinga Ya MAOVU YENU MIAKA 50
 
Nashangaa sana kuona watu ghafla wamekuwa na mapenzi na Sumaye kisa amejiunga na UKAWA. Sumaye pamoja unaUwaziri Mkuu wake hakuwahi kuwa mwanasiasa mwenye mashiko au ufuasi au mvuto.

Sumaye huyo huyo alishindwa katika uchaguzi ndogo sana wa CCM na mwanafunzi na rafiki yake wa zamani mama Mary Nagu.

Sasa kwa mwanasiasa kushindwa vita hii ndogo ataweza kweli vita kubwa?

Usikurupuke kusema usilolijua! Unajua Sumaye alishindwa na Mary Nagu katika mazingira gani? Kama kitu hukijui ni bora ukanyamaza kwa kuwa utahesabiwa hekima! Uliza wanaejua ule uchaguzi ulikuwa vipi halafu watakwambia nini kilifanyika then ndio urudi hapa kuandika huu u..p..zi
 
kuna changa la macho CCM mmepigwa na mpaka mgundue tayari mko nje ya dola.
go on Sumaye.
 
Heri sumaye aliejua haki na kweli kuliko hao wengine walizarau hadi kwao walikozaliwa
 
Hivi ndani ya CCM kuna democrasia ya kweli au unajishaua?

Hakuna chama chenye demokresia zaidi ya ccm vyama vingine ni vya watu binafsi Chadema ni Mtei na Mbowe wakiamua lolote hakuna wa kupinga vinginevyo unafukuzwa,CUF Maalim Serif peke yake NLD ni Makaidi na Mke wake.
 
Kiboko ya mume wako ni mimi

Bi Pango, jibu laako ni la kiburi na kebehi. Lakini ukweli ni kuwa Mhe sumaye aliangushwa kwenye uchaguzi mdogo huku endasak na Katesh, Mary Nagu alipewa msaada mkubwa na Bw.Lowassa ili kuweza kumbwaga Ndugu Sumaye vibaya sana, na sumaye aliimuandama lowassa kwa matusi ya kila aina, Leo ni waleta Mabadiliko ndani ya Chadema. Ama kweli umalaya wa siasa hauna haya hata kidogo.
 
MMELAANIWA CCM MUMFANYAYE MAGUFULI kinga Ya MAOVU YENU MIAKA 50

Biblia inasema Amelaaniwa mtu asemaye mtu mwema (Magufu.... ) ni mwovu na mtu mwovu (Lowa.......) ni mwema.
 
Nashangaa sana kuona watu ghafla wamekuwa na mapenzi na Sumaye kisa amejiunga na UKAWA. Sumaye pamoja unaUwaziri Mkuu wake hakuwahi kuwa mwanasiasa mwenye mashiko au ufuasi au mvuto.

Sumaye huyo huyo alishindwa katika uchaguzi ndogo sana wa CCM na mwanafunzi na rafiki yake wa zamani mama Mary Nagu.

Sasa kwa mwanasiasa kushindwa vita hii ndogo ataweza kweli vita kubwa?

Wewe kenge kaa kimya hujui lolote, Mary Nagu ni kinyago kilichochongwa na Sumaye mwenyewe lakini baadaye kikatumiwa na Lowasa kumdhaifisha Sumaye Hanang na kumtoa kwenye green stand.

Huo ndio ugomvi mkubwa wa Sumaye kwa Lowasa, Mary Nagu anaendeshwa kwa remote ya Lowasa tu.

Unarukia vitu usivyovijuwa hata chembe.
 
Sio Sumaye peke yake, Lowasa na waumini wake waliotoka CCM hawawezi tuletea mabadioiko yoyote. Kwasababu mfumo wao ni wa kujitajirisha wenyewe na sio kuwanufaisha watu. UKAWA wameuza timu kww bei rahisi, baada ya uchaguzi huenda CCM ikarudi madarakani kwa jina tofauti

Nashangaa sana kuona watu ghafla wamekuwa na mapenzi na Sumaye kisa amejiunga na UKAWA. Sumaye pamoja unaUwaziri Mkuu wake hakuwahi kuwa mwanasiasa mwenye mashiko au ufuasi au mvuto.

Sumaye huyo huyo alishindwa katika uchaguzi ndogo sana wa CCM na mwanafunzi na rafiki yake wa zamani mama Mary Nagu.

Sasa kwa mwanasiasa kushindwa vita hii ndogo ataweza kweli vita kubwa?
 
Nashangaa sana kuona watu ghafla wamekuwa na mapenzi na Sumaye kisa amejiunga na UKAWA. Sumaye pamoja unaUwaziri Mkuu wake hakuwahi kuwa mwanasiasa mwenye mashiko au ufuasi au mvuto.

Sumaye huyo huyo alishindwa katika uchaguzi ndogo sana wa CCM na mwanafunzi na rafiki yake wa zamani mama Mary Nagu.

Sasa kwa mwanasiasa kushindwa vita hii ndogo ataweza kweli vita kubwa?

Hujui siasa wewe wala huna ufahamamu wa yaliyotokea: Sumaye alishindwa kwa nguvu ya Lowasa iliyokuwa nyuma ya Mary Nagu, marry alitumwa na mzee Lowasa kumpunguza nguvu Sumaye. Next time tafiti kabla hujareport.
 
Kwa akili zako unadhani Sumaye kafata nini kule kama siyo pesa? wamemlaghai nae kaingia kwenye mtumbwi wa vibwengo, ila hajui kama lile ni kapu la wajanja yeye mjinga hatii mkono. wakishamaliza kumtumia wanamtema kama muwa
#hapakazitu
 
Nashangaa sana kuona watu ghafla wamekuwa na mapenzi na Sumaye kisa amejiunga na UKAWA. Sumaye pamoja unaUwaziri Mkuu wake hakuwahi kuwa mwanasiasa mwenye mashiko au ufuasi au mvuto.

Sumaye huyo huyo alishindwa katika uchaguzi ndogo sana wa CCM na mwanafunzi na rafiki yake wa zamani mama Mary Nagu.

Sasa kwa mwanasiasa kushindwa vita hii ndogo ataweza kweli vita kubwa?
huna hoja si ameeleza kuwa ccm mpango wake ni ukandamizaji. mnakumbuka yaliyomkuta Mangula baada ya kumsema vibaya kikwete? baadae alirudishwa kwa neema za kamati ya ushauri ya marais wastaafu kinyume cha matakwa ya jk, baada ya kuona ccm inaenda mrama au watanzania ni wepesi wa kusahau au mnasemaje
 
Usikurupuke kusema usilolijua! Unajua Sumaye alishindwa na Mary Nagu katika mazingira gani? Kama kitu hukijui ni bora ukanyamaza kwa kuwa utahesabiwa hekima! Uliza wanaejua ule uchaguzi ulikuwa vipi halafu watakwambia nini kilifanyika then ndio urudi hapa kuandika huu u..p..zi

huo ndo ukweli mkuu Sumaye hata akigombea uenyekiti wa Kijiji Hanang' hapati, enzi yake ilishapita sema tu hataki kukubaliana na hali
 
Ccm tupa kuleeeeeeeee!Ni bora nisiwe na kiongozi kuliko kuongozwa na majizi ccm
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom