Recent content by mwanzajo

  1. mwanzajo

    JamiiForums Tanzania Upwork : Sababu 4 kwanini unakosa kazi (from verified member with 90%+ job success rate)

    Post nzuri sana. Ila umeshindwa kutwambia how to win!! Umeishia tu kusema beginners wanafeli hapa na pale. Mimi naomba utwambie beginners tufanye nini ili tufaulu kwa hizi proposal zetu?? Kwa kifupi tufanye nini sasa ili na sisi tuonekane haraka? 🙏
  2. mwanzajo

    JamiiForums Tanzania SoC02 TEKNO MAARIFA: Simu Janja yako ni Ofisi yako

    Tupatieni na sisi huu ujanja jamani
  3. mwanzajo

    JamiiForums Tanzania SoC02 Watanzania tunakwama hapa

    UTANGULIZI Tanzania ni miongoni mwa nchi nyingi zilizoko kusini mwa Jangwa la Sahara ambazo zimepiga hatua kubwa katika suala la utoaji wa elimu kwa watu wake. Kwa miaka ya hivi karibuni, tumeshubudia mabilioni ya fedha yakiwekezwa kwenye sekta ya elimu ambapo tumeona ongezeko kubwa la...
  4. mwanzajo

    JamiiForums Tanzania Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

    Wewe unayafanya haya unayoyasema? Au unaongea tu?
  5. mwanzajo

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanaume atakayekuwa mume wangu

    nicheck hapa meu760@gmail.com
  6. mwanzajo

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume anaejielewa kwa mahusiano na ndoa

    Uko pande zipi
  7. mwanzajo

    JamiiForums Tanzania Nafasi mbalimbali za kazi Pamoja na scholarship

    follow this link Scholarships / Project Funds – Mwanza Jobs
  8. mwanzajo

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wa kike wanted

    Mwambie aliyenichokoza. Mbona huongelei ayo maneno aliyonitmia?? Soma huu ujumbe" Someone's dreams or ideas can't be my life reality
  9. mwanzajo

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wa kike wanted

    Hujitambui ndo maana. Hivi kuna ulazima wa wew kuweka Mawazo yako hapa?? Au ndo wale mnajifanya MNA busara mitandaoni kumbe mnatembea na mavi mkunduni. Kabla hujatoa Mawazo yako, soma kwanza heading mbwa wew MBNA wahusika wameni pm tena kwa busara?? Historia ya maisha yangu unaijua wew?? Kubwa...
  10. mwanzajo

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wa kike wanted

    Poa, but mji siyo kikwazo. Maamuzi yako ndiyo maisha yako Think abt it twice
  11. mwanzajo

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wa kike wanted

    Thanks kwa ushauri Lakini hata hapa ni platform nzuri kwa mawasiliano, coz mtajuana na kama atafaa then MTU unafatilia nyendo na malezi ya MTU husika. By the way, thanks kwa ushauri inaonesha umekomaa kifikira
  12. mwanzajo

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wa kike wanted

    Acha upuuzi ur grown up. Kama huna hoja funga domo. Kwani lazima uweke comment yako?? After all am not after you. Acha ushamba
  13. mwanzajo

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wa kike wanted

    Haaahha sijasoma SAUT mzazi
  14. mwanzajo

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wa kike wanted

    Thanks
  15. mwanzajo

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wa kike wanted

    Thanks
Back
Top Bottom