Recent content by mwanza_kwetu

  1. M

    Watalamu wa masoko system za Afya (IS health services marketing) na masoko ya systems za uhasibu Tanzania

    Deadline 30.06.2021 Wadau wote, wanahitajika wasomi wenye degree walau za masoko au za afya aina yoyote au ofisa mauzo wenye weledi kwa ajili ya masoko ya huduma za afya, lengo ni kuuza system za IT kwenye hospitals za private na za serikali na kwamba maofisa hawa watafanya kwa mikataba ya muda...
  2. M

    Watalamu wa masoko system za Afya (IS health services marketing) na masoko ya systems za uhasibu Tanzania

    UNapotosha watu, CV zinaingia na watapata kazi kutegemea na makubaliano. Hamna mtu anapigwa hapa hata senti sema jamaa ana shibe
  3. M

    Watalamu wa masoko system za Afya (IS health services marketing) na masoko ya systems za uhasibu Tanzania

    Wadau wote, wanahitajika wasomi wenye degree walau za masoko au za afya aina yoyote au ofisa mauzo wenye weledi kwa ajili ya masoko ya huduma za afya, lengo ni kuuza system za IT kwenye hospitals za private na za serikali na kwamba maofisa hawa watafanya kwa mikataba ya muda mfupi mfupi wenye...
  4. M

    Forgery za mfanyakazi wa nje za Vodacom Plc zaanikwa kwa Waziri na Rais Magufuli

    Nahisi haujajibu hoja hats moja aidha kwa kushindwa kuzielewa, kudharau taratibu za kisheria na kkkayiba tulizojiwekea ama unatumika na mabeberu maana unaweza kujibu hoja zote wewe ndionunapiga majungu Paschal uko zaid ya hili, maana whistleblowing ndio inamwimpeach Trump au Tanzania sharia...
  5. M

    Forgery za mfanyakazi wa nje za Vodacom Plc zaanikwa kwa Waziri na Rais Magufuli

    To: Minister of Labor, The United Republic of Tanzania, Prime Minister's office, Labor, Youth, Employment and Persons with disabilities, P. O Box 2890, Dodoma. 28th November 2019 Dear Sirs, RE: ESCALTION ON GOING FORGED WORK PERMIT BY Mr. LUIS EDUARDO FEDRIANI – VODACOM Plc EMPLOYEE Refer to...
  6. M

    Hali ndani ofisi za Psssf kwa wastaafu ni majanga tupu

    Kazi bila maarifa ni bure. PSSSF ni janga la taifa................
  7. M

    Usafiri kwa njia ya Mabasi Tanzania pamoja nauli zake (kutoka UBT na Mikoani)

    Nauli za Mabasi kutoka DSM kwenda 1. Kyela 2. Ifakara 3. Tarime 5. Bariadi 6. Kahama naombeni wadau kwa wanaofahamu nina gari zangu nataka nichague routes
  8. M

    Jinsi ya kumpendekeza Maxence Melo kwenye Tuzo ya Human Rights Tulip

    Tundu Lisu pia aingizwe maana amepigania sana uhuru wa maoni ktk serikali hii ya kidikteta na sasa anaelekea kufanikiwa kuwayeyusha kama barafu
  9. M

    Dk Slaa: Mvumilieni Rais Magufuli. Natafakari kurudi nchini siku yoyote

    Endelea kuvumilia wewe; sisi tuache na yetu isitoshe shida zetu hazikuhusu kumbe una njia mbadala ya kukaa ulaya mwenzetu
  10. M

    CCM, Hivi ni lazima Rais aliyeko madarakani awe Mwenyekiti wa Chama?

    Wazo zuri; vyeo viwili vimeondolewa yeye awe wa kwanza kuondoka ktk kofia ya mwenyekiti
  11. M

    Mwakyembe acha siasa, waache wanasheria wachague rais wao wa TLS

    Good point; Dk wa ajabu, alishaikana PHD pale alipoandika thesis akiomba kuwepo na serikali tatu lakini yeye akageuka ktk bunge la katiba nafikiri so far hazifanyo vema sana
  12. M

    Lissu apata dhamana Polisi. Anatuhumiwa kwa uchochezi unaoweza kusababisha machafuko ya kidini

    Shitaka hili inabidi kuwa makini; wanamchonganisha 1. Aonekane anachochea dini hatafaa ktk TLS- ni shitaka la kichafuzi na kidini kidini 2. Huenda kutokana na shitaka hilo kwa kuwa ni la kikatiba, kimaadili, huenda akafunguliwa injuction ya uchaguzi ili asigombee; check all options; mimi...
Back
Top Bottom