Habarini za muda huu nauza mashudu ya Alizeti bei ni Tsh 150 kwa kilo moja, mazungumzo yapo endapo utachukua zaidi ya Tani 25 nipo Songea Mjini kwa mawasiliano zaidi unaweza kunipigia kwa simu No 0762717285.
Karibuni sana.
Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
Kama unaona hujatendewa Haki fuata utaratibu sio kuleta majungu na kumchafua mtu mwenye Legacy yake isiyokuwa na chembe ya ubabaishaji hata kidogo fuatilia Historia yake. tatizo walimu mnataka shortcut na hamtaki kufuata taratibu.
Kwa nini kama wana roho Nzuri wasiwafundishe watoto namna ya utengenezaji wa Dawa za meno badala ya wao kugawa Dawa kila mwaka yaani mzazi analipa Ada Mil 2 halafu unamletea msaada wa Dawa ya meno ya elfu 1000! Kwanza kaya zingine hizo Dawa low quality hawatumii!
Nenda Polisi kajisalimishe polisi toa taarifa na nenda na Polisi wenye Silaha kachukue vitu vyako weeh sema yule Binti ndio alikutongoza na alikuambia yule Mzee ni Mjomba wake hivyo hakukuambia kama ni mke wake angalizo Mzee atakuwa amedhamiria kulipa kisasi hivyo hakikisha hajui kabisa sehemu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.