Recent content by Mwanie

  1. Mwanie

    Mara ya kwanza kuwekwa lovebites

    [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
  2. Mwanie

    Mara ya kwanza kuwekwa lovebites

    [emoji16][emoji16][emoji16] haituhusu sana kwa kweli... Wacha tuone wahanga watasema nini
  3. Mwanie

    Wanawake walioolewa huliwa na wapenzi wao wa zamani

    Kukumbushia nini hasa kipya Ni ujinga tu na umalaya kwa wanaokumbushiaga
  4. Mwanie

    Wanawake walioolewa huliwa na wapenzi wao wa zamani

    Ni tabia ya mtu tu sio wote wenye tabia hizo wengi hujiheshimu baada ya kustiriwa
  5. Mwanie

    Kumsahau mtu ni jambo gumu lenye kuwezekana

    NIONAVYO MIMI Kikubwa ni kua busy na mambo ya maana tenga Muda mwingi zaidi wa kufanya mambo yako ya maana kama kazi au biashara.... Pata Muda wa kusoma vitabu hasa vya wanasaikolojia.... Jichanganye na marafiki... Usijipe Muda wa kumfikiria huyo mtu.. Unasahau tu japo itachukua Muda...
  6. Mwanie

    Ukitaka ku-enjoy maisha ya ndoa oa single mother

    Atakua kubwa jinga huyo.... Analishwa na baba ake bado
  7. Mwanie

    SINGLE (S) special's thread

    Wooooyooooo
  8. Mwanie

    SINGLE (S) special's thread

    Singo lkn sitafuti [emoji23][emoji23]
  9. Mwanie

    SINGLE (S) special's thread

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  10. Mwanie

    SINGLE (S) special's thread

    Sasa mbona unatuambia sisi tu.. Wakati na wewe ni mwenzetu bana.... Sema masingle wote hatutaenda popote [emoji23][emoji23]
  11. Mwanie

    Ukitaka ku-enjoy maisha ya ndoa oa single mother

    Eti wababa hamuna shida [emoji2] Who tell you? Ukitaka kujua shida za wababa waulize wamama.
  12. Mwanie

    Ukitaka ku-enjoy maisha ya ndoa oa single mother

    Hakika... Tell dem. Na wengine hapa wanachangia lkn wamelelewa na mama zao tu baba zao wanakwepa majukumu.
Back
Top Bottom