Recent content by Mwang'ingo

  1. M

    Utata katika kupata VIZA katika Ubalozi wa Marekani

    Tatizo la Watanzania walio wachache ni ile kudhani kila kitu kinafanywa kienyeji kienyeji tu kama unavyoweza kufuga mbuzi au kuku na kumuachia ovyo akarudi mwenyewe jioni!! Wanakwenda na Mabenki statementi ya uongo documenti feki!! unapokalishwa pale waiting lounge wenzio wanaingia kazini...
  2. M

    Old school days - Mko wapi?

    Aisee!!! Mmenikumbusha mbali sana!!! lakini mimi naanzia nyuma kidogo!!! Mission Boarding school Tosamaganga kwa Sister Forosina, Kibasa na Padri Chengula!!! Enzi za Balaga Benito na Elton!!! ilikuwa ni kula Buluga kwa kwenda Mbele bila kusahau kwenda Lupalama kuogelea!!! nakumbuka pia wakati...
  3. M

    Asumani is dead

    Duu!!! Hiyo Kali!!!
Back
Top Bottom